Tanzania kupitia REA yaanza kusambaza umeme nchini Uganda

Mugabe one

JF-Expert Member
Nov 15, 2016
2,327
1,684
Tanzania yaanza kusambaza UMEME nchini Uganda kupitia REA, vijiji saba 7 vitanufaika kwa kuanzia.
JE hii ni nzuri au mbaya?
SOURCE:TBC 1
 
Am reserving my insult!!!

Yaani tunapelekea umeme majirani wakati ndani kwetu sehemu nyingi tu imekosa umeme...! Hapa Dar kwenyewe ukienda majohe kule na chanika nguzo hazijafika hata... Watu wanalalamika na kusubiria mwaka mzima ila wapi. Huu unafki haswaa
 
kodi tukatwe sisi halafu umeme usambazwe nchi jirani halafu kuna watu wanakaa bungeni wanajiita wanasiasa wanawakilisha wananchi huu ni upuuzi mkubwa
 
Am reserving my insult!!!

Yaani tunapelekea umeme majirani wakati ndani kwetu sehemu nyingi tu imekosa umeme...! Hapa Dar kwenyewe ukienda majohe kule na chanika nguzo hazijafika hata... Watu wanalalamika na kusubiria mwaka mzima ila wapi. Huu unafki haswaa
kwani Dar kuna kijiji?
 
Huo umeme vijijini niliona harakati wakati wa Kikwete tangu ameingia huyu uhmm..naskia anaongea kuhusu kuhakiki vyeti tu na kuwaruhusu wabunge,mawaziri,wakuu wa mikoa na wilaya kugushi vyeti
 
Back
Top Bottom