baiser
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 1,478
- 2,226
Binafsi ninashangazwa na watunga Sera za kuongoza nchi, wakuu wa mikoa na wilaya kutokuhusishwa na vyeti fake.
Hapa ndo akili ndogo inapokuja kuongoza akili kubwa mwisho wa siku kutumbuana kwa hisia na sio uhalisia kwa sababu mtaalamu anakuwa anaongea na layman kumpa fact za kisomi yeye anatoa judgment kwa kutumia kigenzo cha kusoma na kuandika tu.
Hivi tafiti za kisayansi bila kuhusisha viongoz wasomi zitafanikiwa? Hakika tunasafari ndefu sana