Mtoto Doreen amewasili uwanja wa ndege ya kukodi ya shirika la ndege la Phoenix Air na kuwaishwa moja kwa moja ICU ya Hospital ya Mercy ambako madaktari wanamfanyia vipimo vya (scanning) na...
Watu hawasikii wala hawataki kuambiwa kuhusu hili gonjwa la UKIMWI
Kabla we msichana au mwanamke au we kijana au mwanaume hujafanya ngono bila kinga tafuta wodi za wagonjwa wa UKIMWI ukatembeleee...
Soma taratibu na kwa umakini saana!
__________________________
Eli alikosa sana aliporuhusu wanawe kuhudumu katika ofisi takatifu. Kwa kuruhusu mwenendo wao, kosa moja baada ya jingine...
Kwenye hizi social network kumekuwa na Kamchezo siku hizi kakutengeza habari za uzushi na uongo kwa maneno mazur halafu unaambiwa ingia kwenye hii link upate uhondo...
Kwa mfano unaweza ambiwa...
MAREKANI: Ndege iliyowachukua majeruhi wa ajali ya basi Karatu imewasili nhini humo katika mjini wa Charlotte.
Watoto waliojieruhiwa wamepelekwa Hospitali kwa ajili ya kuimarishwa kiafya, na...
Kuna malalamiko kibao kwa watu wanokosea namba za akaunti..tangu mwenzi uanze hakuna mteja aliehudumiwa pesa yake ikarudi.
Imefikia customer care wamekosa kabisa majibu kwa wateja ukipiga...
Nimesikia kuna kampuni moja imekutwa na vibali vya kuagiza chemicals na wanaofanya hivyo(kuagiza dawa ni darasa la saba).Na kwamba walikuwa na vibali halali vya kuagiza kemikali hizo.
Naomba hao...
Natambua uwepo wa watumishi wa ngazi ya juu ktk wizara ya afya na pia nacte, kuna jambo linaloendelea katika shule za maafisa matabibu (clinical officers) hasa ambao wako NTA-LEVEL 6 mwaka huu...
Define Density....
Define History....
Wakuu Mimi ni mpenzi wa mitandao mbali mbali ya kijamii (ya ndani na nje ya nchi) ikiwemo baba lao JF, Millard Ayo.com, Nairaland forum- hii iko kama JF kwa...
Wakuu poleni na hongera kwa majukumu ya kulijenga Taifa.
kuna suala dogo nahitaji uzoefu wenu juu ya hizi kampuni mbili za sukari zilizowekeza katika mkoa wa MOROGORO, hapa nazungumzia kampuni ya...
Blogging...
Kilimo...
Kuchora
Kuna mamillioni ya maarifa nje ya darasa....
Karibu kushiriki na wanaJF wenzako ujuzi au chochote ulichojifunza nje ya mfumo wa kawaida wa shule...
Kuna kijana mtanashati, handsome! Ameoa msichasna mlemavu anayetambaa kama uonavyo mtoto anavyotambaa. Nisema nikasichana kamedumaa na ulemavu.
Imani iliyokomaa: Kijana amemuoa akisema atapata...
Abedi Kipanya >>>>unayakubali maneno haya ? ni nani unamwamini kati ya aliyeitwa mwizi na aliyeita mwenzake mwizi Gilbert Phillip Kutta
Gilbert Phillip Kutta >>>Unapokuwa kwenye genge la wezi...
Wakuu salaam,
Naandika Uzi huu Kwa uchungu na hasira baada ya kuachiwa mida hii kutoka selo Central.
Ni hivi, mimi napiga mishe zangu tu sio muajiriwa wa serikali wala nini.. Sasa jana mida ya...
Zoezi la uhakiki wa vyeti umeisha.Je wale tuliopandishwa madaraja mwaka jana mwezi wa tatu lakini hatukurekebishiwa mishahara ili kuruhusu uhakiki tutarekebishiwa lini mishahara yetu?
Kumetokea upepo mkubwa wa dakika chache huko Nyarugusu njia nne Unguja-Zanzibar ambao takriban umeathiri Nyumba mia tatu(?). Idadi ya nyumba sina uhakika lakini ni zaidi ya sabini.
Allah atupe...
Mods naomba msiunganishe hii:
Mheshimiwa Rais amewahi kutoa kauli tata nyingi sana ila kuna hizi mbili zilinishangaza sana na zimeanza kuleta matatizo na zitaleta sana
Ile kauli ya kwamba kuwapa...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida iliyotokea mapema hii leo jijini Dar es salaam kwa kitendo cha cha aliyekuwa Naibu Waziri Wizara ya Fedha katika utawala wa awamu ya nne. Adam Malima kutishiwa...
Samahani wana jamvi,
Ukiweka mada yoyote hapa jF isiyo ya ngono, mapenzi, au udaku haipati wateja. Lakini ukiweka mada inayoendana na hayo niliyo yataja, utashangaa inavyopata washabiki. Je...