Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

MAREKANI: Ndege iliyowachukua majeruhi wa ajali ya basi Karatu imewasili nhini humo katika mjini wa Charlotte. Watoto waliojieruhiwa wamepelekwa Hospitali kwa ajili ya kuimarishwa kiafya, na...
5 Reactions
30 Replies
5K Views
Kuna malalamiko kibao kwa watu wanokosea namba za akaunti..tangu mwenzi uanze hakuna mteja aliehudumiwa pesa yake ikarudi. Imefikia customer care wamekosa kabisa majibu kwa wateja ukipiga...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimesikia kuna kampuni moja imekutwa na vibali vya kuagiza chemicals na wanaofanya hivyo(kuagiza dawa ni darasa la saba).Na kwamba walikuwa na vibali halali vya kuagiza kemikali hizo. Naomba hao...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Natambua uwepo wa watumishi wa ngazi ya juu ktk wizara ya afya na pia nacte, kuna jambo linaloendelea katika shule za maafisa matabibu (clinical officers) hasa ambao wako NTA-LEVEL 6 mwaka huu...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Define Density.... Define History.... Wakuu Mimi ni mpenzi wa mitandao mbali mbali ya kijamii (ya ndani na nje ya nchi) ikiwemo baba lao JF, Millard Ayo.com, Nairaland forum- hii iko kama JF kwa...
32 Reactions
172 Replies
22K Views
Wakuu poleni na hongera kwa majukumu ya kulijenga Taifa. kuna suala dogo nahitaji uzoefu wenu juu ya hizi kampuni mbili za sukari zilizowekeza katika mkoa wa MOROGORO, hapa nazungumzia kampuni ya...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Blogging... Kilimo... Kuchora Kuna mamillioni ya maarifa nje ya darasa.... Karibu kushiriki na wanaJF wenzako ujuzi au chochote ulichojifunza nje ya mfumo wa kawaida wa shule...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Kuna kijana mtanashati, handsome! Ameoa msichasna mlemavu anayetambaa kama uonavyo mtoto anavyotambaa. Nisema nikasichana kamedumaa na ulemavu. Imani iliyokomaa: Kijana amemuoa akisema atapata...
1 Reactions
28 Replies
2K Views
Abedi Kipanya >>>>unayakubali maneno haya ? ni nani unamwamini kati ya aliyeitwa mwizi na aliyeita mwenzake mwizi Gilbert Phillip Kutta Gilbert Phillip Kutta >>>Unapokuwa kwenye genge la wezi...
0 Reactions
0 Replies
851 Views
Wakuu salaam, Naandika Uzi huu Kwa uchungu na hasira baada ya kuachiwa mida hii kutoka selo Central. Ni hivi, mimi napiga mishe zangu tu sio muajiriwa wa serikali wala nini.. Sasa jana mida ya...
32 Reactions
163 Replies
13K Views
Zoezi la uhakiki wa vyeti umeisha.Je wale tuliopandishwa madaraja mwaka jana mwezi wa tatu lakini hatukurekebishiwa mishahara ili kuruhusu uhakiki tutarekebishiwa lini mishahara yetu?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kumetokea upepo mkubwa wa dakika chache huko Nyarugusu njia nne Unguja-Zanzibar ambao takriban umeathiri Nyumba mia tatu(?). Idadi ya nyumba sina uhakika lakini ni zaidi ya sabini. Allah atupe...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Mods naomba msiunganishe hii: Mheshimiwa Rais amewahi kutoa kauli tata nyingi sana ila kuna hizi mbili zilinishangaza sana na zimeanza kuleta matatizo na zitaleta sana Ile kauli ya kwamba kuwapa...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Katika hali isiyokuwa ya kawaida iliyotokea mapema hii leo jijini Dar es salaam kwa kitendo cha cha aliyekuwa Naibu Waziri Wizara ya Fedha katika utawala wa awamu ya nne. Adam Malima kutishiwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Samahani wana jamvi, Ukiweka mada yoyote hapa jF isiyo ya ngono, mapenzi, au udaku haipati wateja. Lakini ukiweka mada inayoendana na hayo niliyo yataja, utashangaa inavyopata washabiki. Je...
4 Reactions
39 Replies
3K Views
HABARI YA SIKU MUJUKUU WANGU NAKUFAHAMISHA KUWA NIMESHARUDI KUTOKA ZAMBIA NILIKOKWAMBIYA NAPELEKA DAWA YA KISUKARI KUMBE JITAIDI UJE UCHUKUWE ILE DAWA YA MIGUU NAILE YA BIASHALA IPOTAYARI...
5 Reactions
33 Replies
3K Views
Nataka kufahamu Rujewa na Ludewa ni Wilaya mbili ambazo zipo Mkoa gani?
0 Reactions
42 Replies
10K Views
Hii ni kuhusu vitabu vilivyotolewa kuwa na makosa
0 Reactions
0 Replies
959 Views
Saa hizi moja na nusu jioni ya leo tarehe 15 May 2017 najaribu kufungua www.utumishi.go.tz haifunguki. Nauliza je inapatikana vipi?.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Taarifa hii nilipewa(kama wiki mbili zilizo pita) na rafiki yangu ambaye yupo mkoani Mara aliekuwa akifanya mchakato wa kuchukua mkopo ktk moja ya tawi la bank hii mkoani humo(jina la wilaya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom