Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Dogo kapgiwa Simu leo mchana na no. 0002550234678893! Alimpigia akamtambulisha ni Afisa utumishi Mahakama Kuu ya mkoa fulani akimuuliza we ndo fulani? Akasema ndiyo mimi, hivi check no yako ni...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Wapendwa, Naomba msaada wenu, Kuhusu barabara za mitaani zinazounganisha barabara kuu mbili za TANROADS. Je inabidi ziwe na upana kiasi gani? Nauliza hivyo kwa ajili ya kufanya ujenzi ambapo...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Hii imeripotiwa kutoka Mara. Alimdanganya Mwajiri wake (Afisa Tawala Mkoa ) kwa cheti kisichokuwa chake,akapata ajira . Mahakama imethibitisha jana bila shaka na kumtia hatiani. Chanzo:RFA 26.04.2017
2 Reactions
52 Replies
5K Views
Njoo apa tuelezane uteuzi uliokukuna, kukufurahisha na kuupenda ata kama sasa hivi imekua tofauti na ulivotegemea... Mimi naanza n auteuzi wa Dr. Lyoba mkurugenzi wa tbc,..
0 Reactions
4 Replies
878 Views
MKAZI wa kijiji cha Chipu, Kata ya Kasense, Manispaa ya Sumbawanga, mkoani Rukwa, Kasiano Ntalasha (80), aliyejijengea umaarufu mkubwa na kuogopeka ndani na nje ya mkoa, ikiwemo nchi jirani ya...
7 Reactions
78 Replies
14K Views
Watu Hawa Kamwe Hawataguswa na Zoezi la Uhakiki wa Vyeti Feki Unaoendelea. Japo Vyeti Wanavyotumia sio Vyao. 1.Wanaotumia Vyeti vya Watu Wengine Waliojiajiriwa Sekta Binafsi. Kule Mwendomdundo...
1 Reactions
46 Replies
8K Views
Yaliyojiri hospitali ya Temeke, jana Jumatatu, may 8; Mtoto wa miaka 14 alikua amepoteza fahamu kutokana na jeraha kichwani, na alitakiwa kupelekwa hospitali ya rufaa Muhimbili. Uongozi wa...
22 Reactions
114 Replies
11K Views
Unakuta mtu ana mtaji wa ml. 3 jumla anadanga dangaanyaa anaonekana ana mzunguko mzuri na mtaji ni mkubwa, wanampa 10 ml. Rejesho la pili la tatu tu chaaali Kuna watu wengi hasa vijana na wamama...
1 Reactions
0 Replies
779 Views
Imechukua miaka mingi sana baada ya Radio free ya Mwanza kua radio bora kutoka mkoani na kufanya vizuri ndani ya Dar Miaka ni Mingi sasa Ebony FM toka Iringa imekua radio number moja kwa upande...
5 Reactions
18 Replies
6K Views
Taarifa ya kuwapo kwa mti uliodaiwa kulia machozi ya damu wakati ukikatwa zimekanushwa na Meneja wa TANROADS mkoani hapa. Meneja huyo wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Marwa Rubirya...
2 Reactions
23 Replies
4K Views
Mti wa ajaba wa Mwembe, Dozer D8k limeshindwa kuung’oa hapo ulipo, chain sawa imeshindwa kuukata, shoka limeshindwa kuuwangusha. Inasemekama hata Nyanza Road Works imebidi wauwache kama ulivyo...
3 Reactions
125 Replies
27K Views
Tangu daladala zizuiwe kwenda maeneo ambayo gari za mwendokasi zinaenda vituo hivyo vimekuwa vikajaa watu wengi sana kipita kiasi. Kibaya zaidi, mrundikano huo wa watu hauna ulinzi wa kutosha...
0 Reactions
3 Replies
940 Views
Fatuma Mohammed (70) na Aziz Njakula (36) wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka ya wizi na kupatikana na gari la wizi aina ya Toyota Hiace...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Kutokana na gonjwa hili korofi kuripotiwa kushambulia nchini Kongo hivi karibuni, Wizara ya Afya imelazimika kutoa tahadhari mapema kwa watanzania ili kuweza kuchukua hatua za kujikinga na...
1 Reactions
0 Replies
820 Views
Watanzania wenzangu,kumiliki biashara/kampuni (kwa maana ya limited company) na kujiajiri ndiyo siri ya mafanikio kwa Tanzania ya leo.Chukua hatua na ufungue kampuni yako na ujiiunue kiuchumi...
0 Reactions
0 Replies
747 Views
Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii,jinsia ,Wazee na watoto imewatoa hofu watanzania kuhusu ugonjwa wa ebola ambao umeripotiwa katika nchi jirani ya DR Congo na kusema tayari imeanza kuchukua hatua...
0 Reactions
0 Replies
626 Views
Faru wetu maarufu mmoja marehemu na mwingine bado yuko hai, sijui waliitumia vigezo gani kuwaita majina ya Kizungu. Mfano Fausta ni jina la kilatini. Kwanini sio faru Masanja, Faru Mwaipopo au...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Wana JF habarini Wakuu Nina mengi najiuliza kuhusu KUVUNJWA CDA DODOMA jamani,,, ktk eneo langu pale mjini nililinunua kimila na nkafatilia saana CDA wanihalalishie umiliki lakini nikapigwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wana Jf, Taarifa iliyoripotiwa na acount ya twiter ya Swahili Times inaeleza kuwa mfanyabiashara Benedict Assey amekamtwa na Lita 4000 za kemikali ya kutengeneza madawa ya kulevya aina ya heroin...
2 Reactions
18 Replies
6K Views
Forbidden to you are...married women, except those you own as slaves." (Surah 4:20-, 24-)
0 Reactions
6 Replies
895 Views
Back
Top Bottom