Ni lini tunarekebishiwa mishahara?

mugua

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
205
120
Zoezi la uhakiki wa vyeti umeisha.Je wale tuliopandishwa madaraja mwaka jana mwezi wa tatu lakini hatukurekebishiwa mishahara ili kuruhusu uhakiki tutarekebishiwa lini mishahara yetu?
 
Si alishasema, kuwa kwenye ghafla ijayo ya Mei Mosi atakuja na habari njema itakayoleta furaha lakini kwasasa tumvumilie.
Hivi kuna watu wanajifariji kuwa mwaka huu kuna nyongeza. Duuuuhhh, hata hotuba ya Magu ya kiswahili wameshindwa kuielewa .
Niliwaandikia humu kuwa "msoto mwingine kwa watumishi wa umma unakuja".kabla ya Mei Mosi hamjaeelewa?
 
Back
Top Bottom