Samahani wana jamvi,
Ukiweka mada yoyote hapa jF isiyo ya ngono, mapenzi, au udaku haipati wateja. Lakini ukiweka mada inayoendana na hayo niliyo yataja, utashangaa inavyopata washabiki. Je, hivi vijana wa kitanzania mnayoyafikiria ni mapenzi tu? Au JF imevamiwa na wageni zaidi?
Inanishangaza sana nikiuliza wanafunzi wangu darasania (wanafunzi wa chuo kikuu fulani), inakuwaje mnaiba vifaa vya kompyuta kwenye lab yenu? Wana sema ah.... kwani si mali ya umma? Je vijana kama hawa, tena wengi ni wapenzi wa siasa, watamsaidia chochote Rais Magufuli?