kALEnga kidamali
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 542
- 733
Kwenye hizi social network kumekuwa na Kamchezo siku hizi kakutengeza habari za uzushi na uongo kwa maneno mazur halafu unaambiwa ingia kwenye hii link upate uhondo...
Kwa mfano unaweza ambiwa INASIKIKITISHA DIAMOND PLATNUMZ AAMBIWA HAYA NA MKEWE ZARI (picha zao zinawekwa) bonyeza link uone
Au JOKA KUBWA LAKUTWA GETINI KWA MSANII MAARUFU NCHINI (unawekewa picha ya joka) .. pitia link hii upate habari kamili
Au INATISHA MSANII BONGO MUVI AKUTWA AKIFANYA LAANA
Au JAMII FORUM NDO BASI TENA MEMBER WAKE WALALAMA KILA KONA... bonyeza link hii kupata habar kamili....
----------------
Sasa unaweza click hizo link badala ya uikute hiyo habari kwanza ni mapicha picha tu na ma adds kibao mara ukute blog za xx au ukutane na blog tu yenye habari nyingine za udaku udaku tofauti na ulio ifuata.....
Yaani nmekuwa nikigadhabika hadi nimeacha kuya click hayo ma link yao nisije nikasababisha simu yangu ikaingiwa na virus vya WANNACRY nianze kudukukiwa...
==================
Kalenga kidamali