Mr Suprize
JF-Expert Member
- Dec 18, 2014
- 858
- 937
Wakuu poleni na hongera kwa majukumu ya kulijenga Taifa.
kuna suala dogo nahitaji uzoefu wenu juu ya hizi kampuni mbili za sukari zilizowekeza katika mkoa wa MOROGORO, hapa nazungumzia kampuni ya sukari ya mtibwa na Kilombero.
1.hivi ni kweli hizi kampuni zina miliki mashamba makubwa ya miwa?
2.kama jibu ni NDIYO wanaanza kuvuna lini hiyo miwa?
3.JE uvunaji hufanyika kwa kutumia mashine au wanaajiri wafanyakazi/watu)?
4.kama wanaajiri watu malipo yake yanakuaje?
Nimeuliza hivi kwa sababu nina mdogo wangu hapa ameniomba nauli ya kwenda moro kaniambia amewasiliana na rafiki yake yupo moro kwamba apande basi aende moro kuna kazi ya kukata miwa kwenye makampuni hayo mawili ya sukari ,.. nilijaribu kuwasiliana na huyo rafiki yake ameniambia ni kweli hiyo kazi ipo na kampuni zinatarajia kufungua huo msimu wa kuanza kukata miwa mwezi june mwanzoni, ..
MIMI binafsi sikutaka kuchukua uamuzi mapema nimeamua nije JF nipate taarifa zenye uhakika juu ya jambo hilo maana naamini humu kuna watu wanayajulia vyema makapuni hayo watanipa ushirikiano..
NAOMBENI MNISAIDIE NAHOFIA MDOGO WANGU ATAINGIZWA CHAKA.