Kabla hujafanya ngono bila kinga

eden kimario

JF-Expert Member
Jun 13, 2015
10,233
16,202
Watu hawasikii wala hawataki kuambiwa kuhusu hili gonjwa la UKIMWI
Kabla we msichana au mwanamke au we kijana au mwanaume hujafanya ngono bila kinga tafuta wodi za wagonjwa wa UKIMWI ukatembeleee huko kwanza then ukirudi uendelee kufanya ngono bila kinga
Nakusisitizia fanya kazi zaidi kuliko kuwaza ngono kama kicheche
 
Dah!!!miaka ya nyuma kidogo kunandugu yangu alikuwa na tatizo la Ukimwi sasa wakati yuko kwenye stage za mwisho za kututoka alipata shida sana mangonjwa kibao yalimsonga na mademu na masela wake wote waliokuwa nae kipindi cha bata sikuwaona kiukweli roho yangu ilichafuka toka siku hiyo mimi na ngono basi Ngoja nijipange nioe huwenda akili itakaa sawa.

Note.vijana ukimwi sio tatizo dogo ni hatari.
 
Back
Top Bottom