Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Dar es Salaam. The government is in a process of drafting a plan that will ensure cities that cannot produce charcoal are able to access the product once the government notice to regulate movement...
0 Reactions
0 Replies
555 Views
Mara kadhaa napopita kwa mawakala wa hii huduma huku kitaani kwangu, unakuta wakala anakuambia hana flot mara flot ndogo na visababu vingine kibao, mwisho wa siku hupati huduma. Sasa nimekuwa...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Kama kuna uwezekano wa bia kuuzwa TZS 1500 Je kwanini muda wote mmekuwa mkituuzia kwa 2500?
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Naombeni mwenye namba za magari ya magazeti kuna document muhimu sana jamani nataka ifike Arusha kesho. Asanteni
5 Reactions
25 Replies
4K Views
Sumbawanga. Mkazi wa Kijiji cha Msia wilayani Sumbawanga mkoani Rukwa, Patrick Kipesa (39) amejinyonga kwa kutumia kamba ya katani mara baada ya kuumua mkewe kwa kumkata kata na shoka sehemu...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Habarini za asubuhi! Jamani wadau naombeni kuuliza kuna mtumishi mmoja anaitwa Kakobe je alipotelea wapi?
0 Reactions
18 Replies
6K Views
Three Child Survivors from Tanzania Bus Crash Arrive in U.S. THE PLANE CARRYING THE THREE CHILDREN AND THEIR MOTHERS ARRIVED IN CHARLOTTE LATE ON MOTHER’S DAY.
3 Reactions
28 Replies
4K Views
Habari wana Jf Zaidi ya wafanyakazi 10,000 hawatopokea mishahara mwezi huu. Kwa mahesabu ya harakaharaka kuna wafanyakazi ambao walikiwa wanapokea 300000, 50000, 700000, na wengine zaidi ya 1.5M...
8 Reactions
74 Replies
8K Views
Habari zenu bana/ poleni kwa majukumu ya hapa na pale/ mi naomba anaeujua wimbo wenye hizi phrase anijuze tafadhali aniambie ni nani kaimba pia "gonjwa hili limezua kizaazaa mzozo gumzo gumzo...
0 Reactions
15 Replies
8K Views
Mwenzenu nilishiriki huzuni ya Arusha-ya vifo vya wanafunzi,walimu na dereva wa Lucky Vicent. Nilishiriki kwa hali na mali. Nimeukwepa mtego wa kulilia na kulalamikia rambirambi zilizowashwa kama...
19 Reactions
26 Replies
4K Views
Nyumba za Ibada Kibiti zinahitaji kusimama kwa pamoja kwenye Toba kwa ajili ya Mauaji yanayoendelea eneo hilo, Mungu awape Imani.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Miongo kadhaa iliyopita, nayawaza maisha yangu yalivyokuwa kijijini. Nimetokea familia ya wafugaji, kwa hiyo maisha yote yalikuwa ni porini mda wote nikichunga ng'ombe. Hakukua na chai kama huku...
11 Reactions
99 Replies
18K Views
Jovin Bukambo mwenye umri wa miaka 30 amehukumiwa miaka 30 jela kwa kujaribu kumbaka Bi. Maria Tenganamba mwenye umri wa miaka 60. Akimsomea hukumu hiyo Hakimu Ramadhan Rugemalila alisema kuwa...
0 Reactions
1 Replies
975 Views
Maisha halisi na pekee kwa Mwanadamu ni yale ya kuwa Mcha Mungu, yaani kutii maagizo ya Mungu. Mambo mengine tuyaonayo hapa Duniani ni ubunifu tu wa Mwanadamu wa namna ya kuishi katika hii...
7 Reactions
19 Replies
6K Views
Boss mkuu bw.rajan rupin anatukana wafanyakazi,na wanaachishwa bila sababu kila mwaka boss anakaa na mbwa ofisi moja hajali maadili ya dini hata kama yanakataza kua na mbwa na ukiajiriwa ktk ofisi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Taarifa: Ndege DC 8 N782SP imewasili Mji Mkuu Charlotte, NC katika Amerika majira ya saa 3 asubuhi ( Saa za Afrika Mashariki). Watoto wamepelekwa hospitali mjini Charlotte kwa madhumuni ya...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Mr president na viongozi wengine. Naomba muangalie swala zima la mwendokasi. Kama imeshindikana kuwahudumia wananchi basi daladala zirudi. Cause leo kuanzia saa kumi na mbili gari zinazingua...
0 Reactions
2 Replies
799 Views
Mengi hasa katika kukumbuka hua ule umri wetu wa utoto na kuna mengine unatamani kuyasahau lakini waapi!! Leo nataja baadhi ya mambo natamani niyasahau ila nashindwa na sometimes hua najiuliza...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Kuna habari kutoka kijiji cha Sangu kule wilaya ya Kwimba, wakisema fisi wavamia kijiji na kula au kuua watoto, mlioko huko au karibu, tunaombwa kujuzwa.
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Back
Top Bottom