Ndege iliyowabeba watoto wetu waliojeruhiwa katika ajali ya Karatu yawasili Marekani salama salmini

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
Screenshot from 2017-05-15 12-05-22.png

MAREKANI: Ndege iliyowachukua majeruhi wa ajali ya basi Karatu imewasili nhini humo katika mjini wa Charlotte.

Watoto waliojieruhiwa wamepelekwa Hospitali kwa ajili ya kuimarishwa kiafya, na baadae watapelekwa Hospitali ya Mercy iliyopo katika Jimbo la Iowa.
 
Mungu mwenye rehema, atawaponya kwa jina la yule aliye mkuu kuliko wote. Amina
 
Kweli hakuna aijuae kesho, hawa watoto walikua hawafikirii kabisa km siku moja wangefika Marekani
 
Kweli hakuna aijuae kesho, hawa watoto walikua hawafikirii kabisa km siku moja wangefika Marekani
is it a big deal to them, can you gauge a grief in them having lost their boleved classmates?
 
is it a big deal to them, can you gauge a grief in them having lost their boleved classmates?
kwa mtoto ni joyful na wanaweza kusahau yaliowasibu kwa haraka if they get treatment like this
 
Back
Top Bottom