Kuna malalamiko kibao kwa watu wanokosea namba za akaunti..tangu mwenzi uanze hakuna mteja aliehudumiwa pesa yake ikarudi.
Imefikia customer care wamekosa kabisa majibu kwa wateja ukipiga wanakujibu sisi kwa sasa hatuna la kufanya system zimefeli.
Sasa angalizo kama ni mteja mpya sikushauri kabisa maana kwa mteja mpya ni rahis sana kukosea..na kwa wateja wa zamani kuwa makini...
Na kama kuna mtu wa meridian hapa... Ni bora pia akasema nini kinaendelea.. Isijekuwa watu wanataka kusepa..