ZE NDINDINDI
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 1,885
- 4,012
Mods naomba msiunganishe hii:
Mheshimiwa Rais amewahi kutoa kauli tata nyingi sana ila kuna hizi mbili zilinishangaza sana na zimeanza kuleta matatizo na zitaleta sana
Ile kauli ya kwamba kuwapa 5,000 traffic sio big deal ni hela tu ya kubrush viatu madhara yake yanaonekana sasa,jamaa wamekuwa kero actually wamekuwa Police revenue authority (PRA) na kauli za kibabebabe
Mbaya zaidi ni ile kauli yake pale viwanja vya biafra ya kwamba anashangaa kwa nini Raia hawawaogopi police na tumeona leo masaki issue ya yule mwehu akipiga risasi uu na kulalamika eti raia hawaheshimu serikali,yaani kisa kuulizwa kitambulisho tu?hivi hawa jamaa wakikukuta gizani si wanakuua?