Imani iliyokomaa!

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
44,562
82,960
Kuna kijana mtanashati, handsome! Ameoa msichasna mlemavu anayetambaa kama uonavyo mtoto anavyotambaa. Nisema nikasichana kamedumaa na ulemavu.
Imani iliyokomaa: Kijana amemuoa akisema atapata thawabu kwa vile amemsaidia asiyejiweza kwa kumuoa na hivyo Peponi ameshahakikishiwa!
Mungu amjalie kwa kweli.
 
Amekwambia hiyo ndo sababu ya kumuoa? Ukute kaka wa watu kampenda tu binti... Nyie wengine si mnatafuta chura!!! Wenzenu wanaooa kwa mapenzi ya dhati wanaishi kwa amani na furaha mpaka kifo kinawatenganisha
 
Inaonekana chura huna
 
Angalia sana, yawezekana kijana kaoshea akamwona binti na vijisenti vyake kutoka kwa wafadhili. Tumewaona wengi na mwisho ni kumwibia mlemavu na kusepa.
 
Amekwambia hiyo ndo sababu ya kumuoa? Ukute kaka wa watu kampenda tu binti... Nyie wengine si mnatafuta chura!!! Wenzenu wanaooa kwa mapenzi ya dhati wanaishi kwa amani na furaha mpaka kifo kinawatenganisha
Chura ana thamani yake mkuu paprika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom