ng'ombo
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 418
- 619
Mtoto Doreen amewasili uwanja wa ndege ya kukodi ya shirika la ndege la Phoenix Air na kuwaishwa moja kwa moja ICU ya Hospital ya Mercy ambako madaktari wanamfanyia vipimo vya (scanning) na kufanyiwa upasuaji muda mchache ujao. Sadia na Wilson watafanyiwa upasuaji kesho.
Mtoto Wilson alipokuwa Carolina Medical Centre mjini Charlotte NC mapema leo.
Source: lazaronyalandu