Kamishna wa Mamlaka ya Kupambana na Kuzuia Dawa za Kulevya nchini, Rogers Sianga amesema wamekamata zaidi ya lita 6494 za kemikali bashirifu zinazoweza kutengeneza dawa za kulevya mtaa wa kipepeo...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida Binti mmoja anayeishi mtaa wa Ntungamo Kata ya Buhembe, Manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera, Latifa Vedasto anadaiwa kumnyonga mtoto wake aliyejifungua siku tatu...
naomba nieleweshwe kabla sijaenda kukata nimeskia watu wengi wanasema kama una bima ndogo gari ikipata ajali hulipwi kitu,sasa ni ya nini na tunakata ili iweje?
Salaam...
Je, unajua kuwa kampuni ya Apple (inc) ina market value kubwa kuliko pato la taifa la nchi kama Saudi Arabia.
Si hivyo tu, pia ni kubwa kuliko pato la taifa la nchi yeyote ile barani...
Samahani sana wanajamvi,yawezekana nikawa nimekosea hili ama lile ila kwakuwa mnaelewa mimi ni binadamu bila shaka mtanisamehe. Naenda moja kwa moja kwenye kichwa cha habari yangu, Nina miaka...
Waliofukua kaburi la Kiyeyeu walia na Tanraod kutowalipa Send to a friend Monday, 03 January 2011 20:00 0diggsdigg
Tumaini Msowoya, Iringa
SIKU chache baada ya kungolewa kwa kaburi la...
Nimeiona mahali hii, hili basi ndo watakuwa wanatumia Serengeti boys huko Gabon ninahisi mabasi hayo yamepambwa na bendera ya kila nchi inayoshiriki, mwenzenu hebu nisaidieni, bendera ya Tanzania...
Wadau,
Jana Kijana wa jirani yangu kwenye Kibanda cha M-pesa ametapeliwa kwa style ambayo ningependa muifahamu na muwatahadharishe na wengine.
Alikuja mteja akiwa na Tshs 10,000/= na alitaka...
Habari waungwana,
Naomba kuuliza eti naweza kupata dhambi ikiwa nimeapa kuacha kitu fulani kwa wakati fulani lakini kwa bahati mbaya au nzuri sikutekeleza nilichokiahidi? Naomba maelezo yenu...
Nimekuwa nikijiuliza kwanini Halotel iburuzwe Mahakamani(Mkurugenzi wake) Wakati Makampuni mengine ya simu yakifanya makosa huwa yanatozwa tu faini? Je ni kwamba kuna hujuma? Just anxious!
Dar es Salaam. The government is in a process of drafting a plan that will ensure cities that cannot produce charcoal are able to access the product once the government notice to regulate movement...
Mara kadhaa napopita kwa mawakala wa hii huduma huku kitaani kwangu, unakuta wakala anakuambia hana flot mara flot ndogo na visababu vingine kibao, mwisho wa siku hupati huduma.
Sasa nimekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.