Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu HABARI zenu na imani wengi mu wazma wa afya na mnaendelea vyema na majukumu ya kimaendeleo na kwa wale ambao sio wazma poleni sana nawaombea mpone na muendelee na shughuli zenu Takribani...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Magari mabovu..hayafai...mnnakodisha kwa wahuni Tuu ..tu..Kama Mwanao anasoma st.Mary's tafadhali fuatilia usafiri wa watoto ni zaidi ya kichefuchefu. Kibaya zaidi mama rwakatare...
1 Reactions
12 Replies
986 Views
Habari wote, Huu mtandao wa simu umekua na kero nyingi sana, Kwa sasa ni hili jambo la kumpigia simu mtu kisha wao wanakuwekea tangazo la biashara kisha ndio wanakwambia kuwa anapatikana...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Binadamu twapenda kula vyakula vinono, maini, nyama, kuku, samaki, vyenye sukari au chumvi, kumbe watafiti wanadai kuna vyakula ambavyo labda havina ladha lakini vyaleta manufaa mwilini kuliko...
1 Reactions
8 Replies
7K Views
Ni kwamba katika hali isiyo ya kawaida kama si ya kushangaza imegundulika kuwa 99% ya Wanaume ambao husafiri na Mabasi ya Mikoani huwalazimisha Makondakta au Mawakala wa yale Mabasi wawapangie...
13 Reactions
208 Replies
24K Views
Nimekuwa nikifuatilia Dirisha la Usajili La NACTE kwa ukaribu ili niweze kumfanyia kijana maombi kama ilivyo ada sasa tangu watangaze litafunguliwa Tarehe 15/may 2017 hadi sasa bado chenga tu sina...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hii barabara sasahivi hali ni mbaya kupita kiasi hasa ukizingatia magari mengi yanatumia hiyo njia. Zaidi ya mwezi sasa viliwekwa vifusi ambavyo mpaka leo havisambazwa mpaka vifusi vingine...
0 Reactions
1 Replies
787 Views
Hii nimekutana nayo sana tu hadi kunifanya nianze kuwashangaa ' Waswahili ' na pengine hata kudhani labda wana matatizo Vichwani mwao. Ni kwamba kila ukikutana na ' Mswahili / Mtanzania '...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Naomba kukupongeza sana kwa kauli yako uloitoa siku ukiwaapisha wakuu wa mikoa na baadhi ya wakuu wa wilaya ile ya vijana kucheza pool wazee kulima kiukweli juzi nilistaajabu baada ya kupita...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Tukisoma waraka unaoitwa: “Waraka wa elimu na. 4 wa mwaka 2014 kuhusu utayarishaji wa vifaa vya kujifunzia na kufundishia” – ambao mtu anaweza kuupata kwenye tovuti ya Taasisi ya Elimu (Tanzania...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mtoto Doreen amewasili uwanja wa ndege ya kukodi ya shirika la ndege la Phoenix Air na kuwaishwa moja kwa moja ICU ya Hospital ya Mercy ambako madaktari wanamfanyia vipimo vya (scanning) na...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Tatizo ni CDA au matendo ya wafanyakazi wa CDA?
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Watu hawasikii wala hawataki kuambiwa kuhusu hili gonjwa la UKIMWI Kabla we msichana au mwanamke au we kijana au mwanaume hujafanya ngono bila kinga tafuta wodi za wagonjwa wa UKIMWI ukatembeleee...
6 Reactions
29 Replies
6K Views
Soma taratibu na kwa umakini saana! __________________________ Eli alikosa sana aliporuhusu wanawe kuhudumu katika ofisi takatifu. Kwa kuruhusu mwenendo wao, kosa moja baada ya jingine...
0 Reactions
4 Replies
894 Views
Kwenye hizi social network kumekuwa na Kamchezo siku hizi kakutengeza habari za uzushi na uongo kwa maneno mazur halafu unaambiwa ingia kwenye hii link upate uhondo... Kwa mfano unaweza ambiwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
MAREKANI: Ndege iliyowachukua majeruhi wa ajali ya basi Karatu imewasili nhini humo katika mjini wa Charlotte. Watoto waliojieruhiwa wamepelekwa Hospitali kwa ajili ya kuimarishwa kiafya, na...
5 Reactions
30 Replies
5K Views
Kuna malalamiko kibao kwa watu wanokosea namba za akaunti..tangu mwenzi uanze hakuna mteja aliehudumiwa pesa yake ikarudi. Imefikia customer care wamekosa kabisa majibu kwa wateja ukipiga...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimesikia kuna kampuni moja imekutwa na vibali vya kuagiza chemicals na wanaofanya hivyo(kuagiza dawa ni darasa la saba).Na kwamba walikuwa na vibali halali vya kuagiza kemikali hizo. Naomba hao...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Natambua uwepo wa watumishi wa ngazi ya juu ktk wizara ya afya na pia nacte, kuna jambo linaloendelea katika shule za maafisa matabibu (clinical officers) hasa ambao wako NTA-LEVEL 6 mwaka huu...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Define Density.... Define History.... Wakuu Mimi ni mpenzi wa mitandao mbali mbali ya kijamii (ya ndani na nje ya nchi) ikiwemo baba lao JF, Millard Ayo.com, Nairaland forum- hii iko kama JF kwa...
32 Reactions
172 Replies
22K Views
Back
Top Bottom