Mapacha XL
Member
- May 10, 2017
- 6
- 1
Natambua uwepo wa watumishi wa ngazi ya juu ktk wizara ya afya na pia nacte, kuna jambo linaloendelea katika shule za maafisa matabibu (clinical officers) hasa ambao wako NTA-LEVEL 6 mwaka huu, kuna vijana ambao wana supplementary za mitihani ya NTA-LEVEL 5 matabibu hawa wanafunzi wako kwenye makundi mawili lakini wote shida/kesi yao inafanana.
Kundi la kwanza ni wale waliokuwa na INCOMPLETE kwenye mitihani iliyofanyika mwezi sept-oct 2016, na kundi la pili ni wale ambao wana supplementary kutokana na mitihani hiyo, maafisa hawa wanafunzi wote kwa pamoja walifanya mitihani ya marudio mwezi march 2017 sanjari na mtaala wao unavyosema (Wale wenye incomplete walifanya mitihani ya incomplete).
Mtaala wa hawa vijana unawapa nafasi ya kufanya supplementary mara mbili lakini wizara na nacte kutokana na sababu zenu mmewaambia vijana warudi nyumbani na kurudi vyuo mwezi june 2017, hili tamko linaashiria vijana watarudia Mwaka wa masomo kwa makosa ya wizara ya afya na nacte.
Tunaomba wizara na nacte kutupatia mitihani mapema ili tuweze kusonga mbele na kumaliza mwaka huu.
Kuliko kulipa gharama za ada upya, pamoja na gharama za maisha mwaka mzima vyuoni tunaomba tujilipie sisi wenyewe gharama za mitihani.
cc Ummy Mwalimu
Hamis Kigwangalla
Joyce Ndalichako
Asanteni