Zanzibar: Upepo waezua nyumba nyingi Nyarugusu

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
16,820
2,000
Kumetokea upepo mkubwa wa dakika chache huko Nyarugusu njia nne Unguja-Zanzibar ambao takriban umeathiri Nyumba mia tatu(?). Idadi ya nyumba sina uhakika lakini ni zaidi ya sabini.

Allah atupe subra na kheir na atuhifadhi kwa kila lililobaya.
204e8c517fc920046bba683779e04082.jpg
f17c925c5dc3f849e0d08b6f5cb3ba5d.jpg
533de81c60879f4a2a3f5f45dbf9e0cb.jpg
d1eda322f9a17edb76705c604ab67c3d.jpg
ed9c360da4217ca090c4ec2d01c95601.jpg
 
dangadunguri

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
1,278
2,000
inawezekana waliokumbwa na majanga si wale waliodhulumu, wanaweza kuwa waliodhulumiwa

Mungu awe nanyi wahanga
Nilipata taarifa kuwa habari za kimbunga zilikuwepo tangu j.mosi na kwa utabiri wao wakasema kinavyoonekana kinaweza kupiga pemba na sio unguja.

Jecha akapiga msuli akisubiri Faruk Kareem wa zbc awatangazie kuwa pemba imezamishwa na kimbunga.

Hamadiiiii goma limepiga kwa jirani... Mungu si Jecha
 
kijani11

JF-Expert Member
Jan 19, 2014
6,919
2,000
Pole sana kwa walioathirika na janga hili. Naona msimu huu wa mvua haujawa rafiki kwa Watanzania kabisa.
 
Faana

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
17,675
2,000
Nilipata taarifa kuwa habari za kimbunga zilikuwepo tangu j.mosi na kwa utabiri wao wakasema kinavyoonekana kinaweza kupiga pemba na sio unguja.

Jecha akapiga msuli akisubiri Faruk Kareem wa zbc awatangazie kuwa pemba imezamishwa na kimbunga.

Hamadiiiii goma limepiga kwa jirani... Mungu si Jecha

Why all this, watu ni wamoja na nchi ni moja, Mungu awanusuru waja wake
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom