Abedi Kipanya >>>>unayakubali maneno haya ? ni nani unamwamini kati ya aliyeitwa mwizi na aliyeita mwenzake mwizi Gilbert Phillip Kutta
Gilbert Phillip Kutta >>>Unapokuwa kwenye genge la wezi hata japo hukubaliani nalo wewe mwizi tu!!..Tujualo ni kuwa ukiwa mnafiki utabaki ndani ya hilo genge huku ukijidai kuwakosoa,...aliye mwungwana huondokana na genge la wahuni!!