kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,010
Nimesikia kuna kampuni moja imekutwa na vibali vya kuagiza chemicals na wanaofanya hivyo(kuagiza dawa ni darasa la saba).Na kwamba walikuwa na vibali halali vya kuagiza kemikali hizo.
Naomba hao niliowataja hapo juu wachunguzwe kwa sababu zifuatazo;
1.Wamekuwa wakitoa vibali kwa wauzaji wa dawa ambao wao ndio wanaoagiza dawa kwa kigezo kuwa wanamlipa mtaalamu(mfamasia)ambaye hakai wala kujihusisha na shughuli ya uagizaji dawa dukani.Hii ni kama aina ya rushwa ingawa inafumbiwa macho
2.Baadhi ya waagizaji wa dawa nje ya nchi,licha ya kutomhusisha mtaalamu,wanafanyiwa ukaguzi hafifu na hii hutoa nafasi ya wao kuweza kuwa na mwanya wa kufanya chochote
3.Wanajua hata kiongozi wa mtaa anaweza kujua ni nani anafanya kazi bila kuzingatia maadili ya taaluma kwa kukagua tu vyeti vya wauzaji lakini hawaruhusu hili kwa visingizio vingi ikiwemo eti upungufu wa wataalamu,ingawa kazi hii haihitaji wataalamu wengi kiasi hicho,zaidi ya kutoa tu miongozo kwa wasaidizi na wanataaluma wengine wanaoweza kufanya kazi hiyo