Bw. Lowassa Ajiwekea Rekodi Zake......

Kibunango

Platinum Member
Aug 29, 2006
8,419
2,270
Siku ya jana imeingia katika kumbukumbu za serikali na maelfu ya wananchi wa Tz na wengine wenye uhusiano na Tz kwa namna moja ama nyingine.

Katika kuangalia angalia habari ya Lowassa nimekuja kufahamu kuwa ndie Waziri Mkuu wa kwanza kujiuzuru kutokana na tuhumu ambazo nimemgusa moja kwa moja tokea mwaka 1961..

Aidha rekodi zake zingine bonyeza hapa
 
Back
Top Bottom