Kijijini Live on Saturday!!

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,587
40,320
Tunatarajia kuwa na onesho baadaye leo Jumamosi kupitia BONGO RADIO na ninawakaribisha wale wote watakaopenda kushirika katika mjadala na mazungumzo yatakayoanza saa nane mchana EST (-5GMT).

Mada ya kesho kubwa ni kuangilia "TUMEFIKAJE HAPA, TUNAKWENDA WAPI?"

Sasa hivi niko kwenye majaribio ya "live chat" kwenye KLH NEWS INTERNATIONAL. Uamuzi ambao tumeufanya ni kuwa Chat itakuwa hewani wakati wa usiku wa Marekani hadi mapema asubuhi.

Nawakaribisha sasa hivi niko kwenye Chat nikijaribu kuona how many people we can handle na mnaweza kuchat even privately (Chemba).

Kujiandikisha pale juu kulia kuna mahali panasema "Register" bonyeza na vidirisha vya kujiandikisha vitafunguka.
 
Back
Top Bottom