wake 4 rukhsa UK | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wake 4 rukhsa UK

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Game Theory, Feb 4, 2008.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  Feb 4, 2008
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  How long before it's okay to stone your wife to death for talking to another man so long as you married her in a country that allows it?  [​IMG]
  Muslim husbands with more than one wife to get extra benefits as ministers recognise polygamy
   
 2. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #2
  Feb 4, 2008
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Sasa wale wenye nyumba ndogo wakiomba hizo benefits je watapewa?

  Manake hata UK wenye nyumba ndogo ni wengi siku hizi!
   
 3. S

  S. S. Phares JF-Expert Member

  #3
  Feb 4, 2008
  Joined: Nov 27, 2006
  Messages: 2,141
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Kazi kweli kweli...!!
   
 4. B

  Bakari Muhogo Member

  #4
  Feb 4, 2008
  Joined: Feb 3, 2008
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tusiwaonee wivu hao waislamu wenye wake wanne. Kwani ni matatizo mno hata wakiomba nyumba kubwa wake wote hao hawawezi kukaa pamoja. Itabidi mtu mwenye wake wanne aombe "apartments" nne kila mke na "apartment yake.Yeye atatakiwa kuzunguka kwa zamu kwa kila mke kama inavyotakiwa.
   
 5. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #5
  Feb 4, 2008
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135  Shughuli ipo hapo!
   
 6. Kapinga

  Kapinga JF-Expert Member

  #6
  Feb 4, 2008
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 728
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ngoja eastern Europeans wasikie hiii..wataingiza ndugu zao wote UK...pound tamu...lol
   
 7. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #7
  Feb 4, 2008
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,639
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Habari njema hii, hasa kwa jamaa zangu wa UK
   
 8. M

  Mtanzania JF-Expert Member

  #8
  Feb 4, 2008
  Joined: May 4, 2006
  Messages: 4,818
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Kapinga,

  Sasa watu wa Eastern Europe na hili vina uhusiano gani?
   
 9. M

  Masatu JF-Expert Member

  #9
  Feb 4, 2008
  Joined: Jan 29, 2007
  Messages: 3,285
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Brazameni nawe kwa ma contraversal tu sikuwezi.....
   
 10. M

  Mtanzania JF-Expert Member

  #10
  Feb 4, 2008
  Joined: May 4, 2006
  Messages: 4,818
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Hizo benefits ndio silaha ya kuangamiza wahamiaji. Watu wanaoingia kwenye mfumo wa benefits sio rahisi kutoka huko, matokeo yake hizo tabia zinaenda kwa watoto na mpaka vijukuu.

  Hizi nchi zina kazi nyingi, kuna watu wachache sana wanaohitaji benefits. Ukifanya kazi na kutengeneza pesa zako mwenyewe ni heshima hata kwa familia yako na pia hata watoto shuleni hawawezi kuwa abused kwa kusema baba au mama anashinda nyumbani tu.

  Mimi kwa waswahili ninaowajua, ushauri wangu ni mmoja tu chapa kazi hata kama hailipi sana, social benefits ndizo zimewakwamisha hata ndugu zetu weusi huko USA.

  Hata ukiwa na wake wanne si wakafanye kazi? Kama pato halitoshi basi punguza wake.
   
 11. Kana-Ka-Nsungu

  Kana-Ka-Nsungu JF-Expert Member

  #11
  Feb 4, 2008
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 2,260
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 135
  Any young and beautiful young musilms out there? Mke mkubwa yupo, nahitaji namba mbili, tatu na nne,popote ulipo nitakufuata ikishindikana nitatuma mshkaji wangu aniolee, just send me your photo.
   
 12. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #12
  Feb 4, 2008
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,222
  Likes Received: 2,086
  Trophy Points: 280
  Mtanzania, ungekuwa umeishi Ulaya Magharibi (tunakoamini kwamba kumeendelea sana) ungekuwa umeshapata picha tayari ya nini Kapinga alimaanisha. Kwa kukuelewesha , kama ilivyo hapa JF ni kwamba, baada ya mipaka ya EU kupanuliwa na kuwaingiza Romania na Hungary, kumekuwa na wimbi la kutisha la wahamiaji kutoka Ulaya Mashariki wakielekea nchi zote za Ulaya Magharibi, hadi wenyeji washaanza kupiga kelele. Watu hawa kutoka nchi hizo wamechukua "manual labour" zote ambazo huzifanya kwa malipo ya chini kidogo na hivyo kuwa kadhia kwa wenyeji. Ukisoma magazeti ya nchi hizi za Ulaya magharibi, yamejaa malalamiko ya ubaguzi na uhalifu kuwahusu hawa wahamiaji kutoka huko Ulaya Mashariki, kwamba wanaongeza uhalifu. Ndio maana mie huwa nawauliza hawa walalamishi kwamba: Kama mlikuwa hamuwataki, kwa nini mlifungua mipaka?
  Wahamiaji wengi hutoka nchi hizi.
  1. Romania
  2. Hungary
  3. Poland
  4. Lithuania
  5. Estonia
  6. Albania
  7. Former Yugoslavia
  8. Former Soviet Union

  Wamejaa ni balaa na wanazaana bila mipaka, tofauti na wenyeji ambao huzaa watoto wawili ama watatu. Malalamiko ndio huanzia hapo!
   
 13. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #13
  Feb 4, 2008
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Kana-Ka-Nsungu,

  Kuna warembo wengi tu bikira Waislamu sema wanataka kuwa mke Mkubwa! Kama utapenda nikuunganishie mama mwenye umri kidogo aliyeachika ana 35 -je unasemaje?
   
 14. Kana-Ka-Nsungu

  Kana-Ka-Nsungu JF-Expert Member

  #14
  Feb 4, 2008
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 2,260
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 135
  Hii issue naona itaongeza idadi ya waislamu ghafla, hata sisi tusiokuwa na dini tutaanza kuvaa kanzu, barakashia na makobazi na misikitini kwa sana.More wives, more money- how can any man refuse this?
   
 15. Kana-Ka-Nsungu

  Kana-Ka-Nsungu JF-Expert Member

  #15
  Feb 4, 2008
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 2,260
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 135
  Ahh.. Mzalendo mbona unabana? niletee hizo dogodogo bana, hilo dungayembe labda liwe la kuvutia hizo benefits tu.
   
 16. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #16
  Feb 4, 2008
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  we kasana usinifanye ncheke.

  ee magunga embe au sio
   
 17. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #17
  Feb 4, 2008
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,639
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  From Daily Mail: June 2007

  Increased immigration and older mothers have triggered a baby boom, as figures released yesterday put official birth rates at a 26-year high.


  One in five babies is born to a woman from outside the UK - an increase of 10 per cent in just one year.

  But there was also a large rise in births to women in their late 30s and 40s, as more continued to delay motherhood in favour of a career.

  The figures, from the Government's Office for National Statistics, reveal the average number of children per woman in England and Wales has risen to 1.87 - the highest rate since 1980.

  Last year there were 669,531 live births - the highest since 1993 and a rise of 3.7 per cent from 645,835 in 2005.

  Of these, nearly 147,000 babies - 21.9 per cent - were born to immigrant families, compared to 13 per cent in 1996, the year before Tony Blair came to power.

  A breakdown of the figures show the most dramatic increase can be seen in the birth rate for women from the European Union. Since 2000, the birth rate for EU immigrants has more than doubled.

  In the last four years, about 600,000 Eastern European immigrants have arrived in the UK from the eight nations which joined the EU in 2004.

  They include Poland, which joined the Union in 2004, and Romania and Bulgaria, which were added this year.

  There have also been big increases in the numbers of babies born to women from Pakistan, India, Africa and the Middle East.

  Since Labour came to power in 1997, about 1.5million immigrants have moved to the UK, official figures suggest. There are no statisticsfor those who are here illegally.


  The highest birth rates in any one area were recorded in Newham in East London, an area with a high migrant population and a non-white majority.

  In Newham, each woman has an average of 2.56 children.

  The lowest fertility rates were found in the North East, where each woman typically has 1.78 children..

  "Immigrant groups have higher birth rates than the existing population.'

  More details click here
   
 18. M

  Mtanzania JF-Expert Member

  #18
  Feb 4, 2008
  Joined: May 4, 2006
  Messages: 4,818
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Idimi,

  Mimi niko UK na nina taarifa za kutosha kuhusu watu wa Eastern Europe. Lakini nilichoandika ni je kuja kwao kuna uhusiano gani na hili la kuoa wanawake wengi pamoja na benefits?

  Pia kusema wenyeji wanalalamika, inategemea ni wenyeji gani, kama ni mwajiri hasa wa viwanda vidogo vidogo kuja kwa watu wa Eastern Europe ni baraka kubwa. Wengi wa wanaolalamika ni wenyeji ambao hawafanyakazi na pia wenyeji waliokuwa wanafanya manual jobs ambao walikuwa wanacharge ile mbaya kwa kazi zao kwa mfano plumbers. Wao Waingereza wamejazana kila sehemu, kwanini walalamike wenzao wakija kwao?

  Kuhusu kuzaa watu wanaosemwa ni pamoja na sisi weusi. Je wao huko waliko hamia mbona hawasemwi? Katika hao wanaosema moja ya tano wamezaliwa na mama ambao hawakuzaliwa hapa ni pamoja na watoto wangu ambao baba yao na mama yao tumelipa tax muda wote na hatujawahi kupata social benefits.

  Pia kwa taarifa yako watu wa Eastern Europe hawazai watoto wengi. Wanazaa watoto wachache kuliko Waingereza. Wanaozaa watoto wengi ni watu wa middle East, Asia na Afrika.

  Wakati mwingine stereotype bila kuwa na data za uhakika ndio mwanzo wa ubaguzi.
   
 19. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #19
  Feb 4, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Now I have another reason to move my base to somewhere near Leincester...
   
 20. M

  Mtanzania JF-Expert Member

  #20
  Feb 4, 2008
  Joined: May 4, 2006
  Messages: 4,818
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Kibunango,

  Hao Daily Mail ni anti-migrants miaka na miaka. Huko nyuma articles zao zote zilikuwa kwa sehemu kubwa refugees na watu kama sisi ambao tulikuwa kwenye work permit.

  Wana ubia na jamaa anaitwa sir Andrew Green ambaye alikuwa balozi Saudi Arabia na Syria. Sijui Waarabu walimfanyia nini ila ni wazi jamaa ni anti-migrants.

  Wanatumia ukweli mdogo kutisha wananchi kuhusu wahamiaji wakati ukweli ni kinyume chake. Kwa mfano kwenye kundi la wenye work permit walikuwa wanasema, kupata vibali vya kazi ni rahisi mno, watu wakifika wanaanza kupata benefits, wakati ukweli ni tofauti, ilikuwa sio rahisi kupata workpermit na pia tulikuwa hatupati benefits mpaka baada ya miaka minne, kwasasa ni miaka mitano.

  Baadaye wakaandama Wanafunzi, serikali ikawaambia wakizuia wanafunzi wa nje, itabidi taxes zipande maana hao ndio wanasaidia vyuo kujiendesha kwa
  fees zao ambazo nyingi ni kuanzia pounds 8000.

  MIaka ya 90 wakati wanatutaka walikuwa wanatumia kila njia tuje, walihitaji Engineers, nurses, doctors, sasa wanashangaa kuona idadi ya watoto waliozaliwa na mama kutoka nje ni moja ya tano? Wao wamejazana USA, tena wanaishi illegally, wamejazana Australia, Afrika na kwingineko.

  Daily mail sasa wamehamia kwa watu wa Eastern Europe, ni ubaguzi huo huo. Wamekuja kwasababu wamewaruhusu kuja, kama hawawataki si wangesubiri mpaka hiyo miaka saba?

  Kwa taarifa tu business za Waingereza kwenye hizo nchi za Eastern Europe ni kubwa zaidi ya interests za watu wa Eastern Europe hapa UK.

  Ubaguzi ni ule ule whether umeelekezwa kwa mzungu au mweusi.
   
Loading...