Ni hapa hapa Dar es salaam, katika Shule ya Msingi Mkunguni ambako watoto wapatao tisa walianguka juma lililopita kwa mapepo. Juzi zaidi ya wanafunzi 20 walianguka na kupoteza fahamu huku wengine...
katika hali ya kushangaza Mbunge wa kuteuliwa Kingunge Ngombare mwiru amewashangaa wabunge wa CCM wanaoiponda serikali kwa madai ya maslahi ya taifa badala ya kukutetea na kukilinda chama chao...
BT launches TelePresence: BT has raised the quality bar yesterday by introducing a revolutionary new "virtual meeting" system it believes will transform the way people work with remote colleagues...
Tangazo la serikali kuzuia mabasi uingizaji wa mabasi ya abiria yenye zaidi ya miaka 5 ni Ufisadi wa hali ya juu na hujuma kwa sekta ya usafiri Tanzania.
Nataka kuingiza mabasi ya bairia ya...
Date::8/28/2008
CUF waisakama serikali kuhusu Richmond, EPA, rada, ufisadi .....
Kizitto Noya na Saa Mohamed
Mwananchi
MWENYEKITI wa Chama Cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amesema...
Malaysian opposition leader Anwar Ibrahim has won a landslide victory in a by-election in Penang.
A high turnout saw his People's Justice Party winning 31,195 of 47,000 votes, the Election...
Wanajeshi wadaiwa kutembeza kipigo kwa raia, 10 taabani
Na Mwandishi Wetu,Tanga
BAADHI ya askari wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Kambi ya Maramba mkoani Tanga wanadaiwa kutembeza kipigo...
Ni kujenga maisha bora kwa watoto au kujenga jina bora kwao
Agosti 27, 2008
Raia Mwema~Muungwana ni Vitendo
Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.
Ewe mpenzi...
Wanaharakati wataka JK abadili uamuzi kuhusu EPA
Na Gaudence Massati
MTANDAO wa mashirika yasiyo ya kiserikali yanayotetea Usawa wa Jinsia, Haki za Binadamu na Ukombozi wa...
Ndullu akataa kutaja adhabu'waliochemsha' BoT
Na Reuben Kagaruki
GAVANA wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Benno Ndullu, amesema hatarajii kutangaza leo wala kesho hatua...
Tanzania ni nchi ya pili duniani kwa utozaji mkubwa wa kodi za mawasiliano,ambapo inatoza gharama ya asilimia 30 ukilinganisha na Uturuki ambayo ni ya kwanza kwa asilimia 45.Viwango hivyo ni...
Ndullu also must go. He was there as a deputy governor throughout BoT scandals namely EPA, dubious payments to fisadi Mkono, overstated cost of buulding twin towers etc.
BoT board of directors...
Ajiunga CCM na kuibua siri nzito NCCR
na Mwandishi Wetu
MKURUGENZI wa Oganaizesheni na Uchaguzi wa NCCR-Mageuzi taifa, Bhakome Mugeta, amejiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
Jamaa juzi kwenye blog yake akasema anakwenda Dodoma kwenye vekesheni
Leo anapost images alizochukua Dodoma kuonyesha baadhi ya wakereketwa wa CCM wakiunga mkono hotuba ya mheshimwa. guess...
Kuhusiana na habari hii inaonyesha dhahiri kuwa hili linaweza kuwa ni doa kwa umoja wa Waarabu, na pia inawezekana kabisa kuwa kuna mkono wa US ili waweze kuwagawa na kuishambulia Iran kwa urahisi...
ERB study proposes new minimum wage
2008-08-27 11:08:18
By Bilal Abdul-Aziz
A Consultant commissioned by the government to review minimum wage rates has suggested a scale of between...
Wezi EPA waanikwa
Mwandishi Wetu Agosti 27, 2008
Raia Mwema~Muungwana ni Vitendo
Ni baada ya jk kuhutubia bunge
SIKU chache baada ya Rais Jakaya Kikwete, kuongeza muda wa kikosi...
Ukusimulia tukio hilo, utadhani ni zile hadithi za kubuni za elfu lela ulela siku alfu na moja. Lakini amini usiamini, limetokea Jijini Dar es Salaam.
Mtu katoka nyumbani kwake salama, akavuka...
Usafiri ndani ya Jiji la Dar es salaam lenye takribani watu milioni nne umekuwa ni mkuki mchungu kwa sisi makabwela. Mtu unayepanda magari mawili kwenda kazini au kwenye shuguli ya kujipatia rizik...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.