Baada Ya Kujiuzulu Lowassa Pesa Zetu Je?

MAFISH

Member
Feb 7, 2008
39
1
Wanandugu tumefurahi sana kusikia kujiuzulu kwa waheshimiwa wa ufisadi na kuwapongeza wale ambao bado wanasubiri kutangaza kujiuzulu...

Baada ya yote bado kichwa changu kinaniuma kuhusu pesa zilizochotwa na zinaendelea kuchotwa na MAKAMPUNI HAYA ya kitapeli"""SHAME KARAMAGI"""STUP$%^d.
JE TUNASHANGILIA KAMA STEP MOJAWAPO,,,NA KUANDIKA THREAD NZURI ZA KUFURAISHA NA KUTIA MOYO KWAMBA WATANZANIA WAPO MACHO NA MAFISADI NA WOTE WATAKAOTHUBUTU KULA PESA YA NCHI YETU,,,TUMEONA REPORT YA ""EPA""HAKUNA ALIEKAMATWA WALA KUAMBIWA NINI KIMEENDELEA KANA KWAMBA WATANZANIA WOTE NI MAITI ZA SAMAKI WABOVU WANAOBAKI KUCHIMBIWA.....HAKIKA HILI JAMBO WANA JF,,KAZI NZURI TUMEFANYA KUHUSU KUADHIBIWA NA MAFISADI WOTE...SASA TUJITHIDII KUANDIKA NA KUPATA MAONI ZAIDI NINI CHA KUFANYA KURUDISHA HELA ZETU ZILIZOPOTEA,,NA KUHUSU MKATABA WA RICHMOND MWENYE MACHO AMESIKIA WATU WANAKULA MILLIONI 152 kwa siku nini billion 113 za EPA??hapa wakina mzee makubwa wanashangilia kumbe kuna wenzao wako njiani kufa pamoja...je jitihada gani zifanywe kurudisha hela zote hizi jamani...mnakumbuka tumesamehewa sana msaada uku BMakituhadaa ,,,kumbe zile walizopanga kulipa zikaingia kwenye mikono ya kiwira ANAMEREREMETA na kwingineko,,,EWE RAISI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA,,,SWALA SI KUFUKUZA AMA WATU KUJIUZULU..TUNATAKA UTUAMBIE UTWAFANYA NINI KUHUSU KURUDISHA PESA ZOTE WALIZOIBA,,,JE AIWEZEKANI HUUU MKATABA KUVUNJWA?? HIVI SASA,,MAANA LEO HII NAANDIKA ,,PM ,MSABAHA,,KANYAMAJI,,MWANYIKA WAMEJIUZULU,,BADO MIL 152 INAINGIA KWENYE A/C ZAO,,UNATUAMBIA NINI KUHUSU HILI,,,,JE HAWA WAHUSIKA WALIOTAJWA HAPO JUU KWANINI WASIFIKISHWE MBELE YA SHERIA MAPEMA IFUATAVYO AU NDIO KUBEBAANA,,UKIIBA PESA NYINGI TANZANIA JELA UTAIKUTA PEPONI,,,,WANA JF TUJITAHIDI KULAZIMISHA ADHABU NYINGINE BAADA YA KUJIUZULU,,,,WAFILISIWE MALII ZAONA IKIWEZEKANA TUKACHUKUE SHERIA ZA CHINA,,WALA RUSHWA NA MAFISADI ""WANYONGWE"" SIO MIMI NAMNUKUU MBUNGE ""NDESA"".KAMA MMESOMA TAARIFA YA JK KUKUBALI KUJIUZULU ANAFREEZE MALI ZAO...KAMA AKUFANYA HIVYO MUDA WOTE KUNA MANTIKI YA KUFANYA HIVYO HIVI SASA..KAMA KUKAMATA MALIZISOHAMISHIMIKA,,,KAMA WAMEANZA KULA MILLION 152 KILA SIKU TOKA 2004,,KUNA HAJA YA KUNGANGANIA MALI YOYOTE HAPA TANZANIA KAMA PESA ZIKO NJE...EWE JK FUMBUKA MACHO,,USIANGALIE URAFIKI...HAYA NI MAWAZO NA NATUMAINI WAN JF THREAD ZITAKAZOFWATA NI ::""MAFISADI WANYONGWE''WAFILISIWE""WAFUNGWE ????
KIDUMU {{{{CC MABADILIKO}}}
 
This is the Litmus case kwa Kikwete. Kama yuko serious tutaona.

Lakini otherwise ni mambo ya Machiavellian games tu.
 
Sasa na tuone JK afanye ukweli wake na akumbuke kiapo chake yeye ni raisi wa Tz na sio raisi wa marafiki zake.
 
Kikwete akiamua kufanya kweli yawezekana na tutahitaji tu atuambie kazuia ngapi account ipi ya nani. Na huyo fisadi kushindwa kudhibitisha uhalali wa pato alokutwa nalo kwa mujibu wa sheria ni ushahidi tosha kahujumu. Mikataba yote inahusu makampuni yalosajiliwa kinyume cha sheria na yalodanganya kuhusu uwezo kitaalamu nk. Kisheria mikataba hiyo inabatilika kwa misingi ya udanganyifu. Yamezidi sana BORA LAWAMA KULIKO FEDHEHA. KAMATA mtu weka ndani na mali filisi rudisha fungu serikalini kazi ianze. Bora tulaumiwe kwa kumnyima fisadi haki kuliko fedheha ya kuendelea kutaabisha wananchi huku mafisadi wakitumia walichojichotea kuendelea kuwayumbisha wanyonge na kuchochea vurugu. HAPA RAISI ATUMIE RUNGU KIELEWEKE. Waliapa kuilinda katiba na wamekiuka.
Kisingov
 
Hilo ndilo ninalosema. Wafikishwe mahakamni walipe fedha zetu na wapoteze haki zao za utumishi kwa kutokuwa waaminifu kwa mwajiri wao.
 
Hawawezi kufikishwa,

There is nothing dangerous like a man with nothing to lose.Sasa hivi Lowassa anapumua akijua kuwa ingawa amepoteza uPM, bado atakula mali yake ya wizi kwa raha mustarehe na bado ni mbunge.

Ukitaka kumchukulia hatua za kisheria na kumfilisi sasa unamchukulia kila kitu.Atakuwa hana sababu ya kukaa kimya, akienda mahakamani atawataja kina Kikwete na ma-scandal yao yote.Ndiyo maana mi nasema kama kweli Kikwete yuko clean ampeleke mahakamani Lowassa.Hawezi kwa sababu Lowassa anajua mengi na Kikwete anaogopa, hasa issue ya IPTL.
 
Kuwachukulia hatua za kuwafilifi na kuwapeleka rumande hawa mafisadi ni muhimu sana kuliko kuwafukuza kazi tu. Bila ya kuwachukulia hatua hizi ni sawa na kazi bure kwani lengo la hao mafisadi lilikuwa ni kuiba ili watumie na kwa hilo wamefanikiwa, hivyo inabidi tuhakikishe hawapati kutumia jasho letu kwa kuwafilisi na kuwafunga.

Rais, usipowachukulia hatua hawa watu basi tutajua kuvunja baraza la mawaziri ni sawa kabisa ile kauli isemayo "Funika kombe ili mwanaharamu apite"
 
Kama Watanzania wameamka toka usinginzi wa kijinga na kkondoo, kuna jambo moja ambalo kama wana nia na nchi yetu wanaweza kufanya.

Kila Mtanzania anayetumia Umeme..ajimwage barabani kwa maandamano makubwa ambayo yatafanyika next week ..kudai pesa zote zilizochukuliwa na mafisadi zirudishe haraka sana na zitumike kumpunguzi mwananchi bei ya umeme..Hizi shangwe nyigine hazina kazi. Ni amendelezo ya Usanii!!!

Waziri mkuu mpya, ajue tuko kazini, ajue hakuna kuchekeshana tena ..asimamie hilo..Rais aliridhie...!!! Wahakikishe Bei ya umeme inashuka haraka.

Mwezi ujao bei za umeme ipungue Siginificantly...!!

Mwanachi wa kawaida hataki porojo ya mawaziri wapya..nani kaapishwa, nini kimetokea ikulu ndogo/kubwa ....etc..TUNATAKA BEI YA UMEME IPUNGUE KUANZIA MWEZI UJAO..Si wezi wameshikwa?..warudushe Pesa wapewe TANESCO.Tupate punguzo....Hatujali wezi watafanyiwa nini, hayo ni mambo ya serekali na vyombo vya sheria..TUNACHOTAKA NI BEI YA UMEME IPUNGUZWE... Tumechoka kunyanyaswa tumechoka kuonewa..Sasa ni mwisho....!!Sisi ni watanzania, Tuko tanzania, Ndani ya nchi yetu..Ni Maandamano sio kupongezana, kwa wine, na miziki laini Ikulu....etc.NI KUTAKA BEI YA UMEME IPUNGUE!!!
 
Back
Top Bottom