Ni kawaida yetu kutabiri nani anashika uongozi pindi mabadiliko yanapotokea, sasa tabirini nani atashika nafasi Waziri Mkuu, toa majina matatu na utaje vigezo/sifa zitakazofanya mtu huyo ashike wadhifa huo. africanus