Did the Internet bring down the PM and his Ministers??

Kapinga

JF-Expert Member
Nov 20, 2007
727
13
It seems it all started with one random email (who many thought was UDAKU au CHUKI BONAFSI) Mara zitto anasimamishwa kazi??,then slaa comes up, now the PM has resigned?? Je did CCM panic?I would not be surprised if the regulation of the internet in Tanzania changes real soon...WanaJF mnasemaje kuhusu hili?
 
Pundit

JF-Expert Member
Feb 4, 2007
3,733
115
Hamna internet wala nini, Waziri Mkuu mwenyewe kajitakia mambo kwa uroho wake.Kama internet ime-accelerate fall yake that is just part of the zeitgest for everything kwani ni sehemu ya maisha.

Kama unataka kusema internet imechangia kwa kiasi kikubwa kuharakisha nakubali, kwani watu tumemsikia mpaka Mwakyembe kwa Mwanakijiji na tumechangia sana hapa, kama watu walipata chachu it is well and good.
 
Kapinga

JF-Expert Member
Nov 20, 2007
727
13
I dont knw about you, but if it wasnt for the internet, i would not knw about all these scandals going on in Tanzania. The newspapers beat around the bush..huku tunapata majina na kila kitu..tangu issue ya Richmond ianze all the info about it being a printing company etc was already being discussed on the blogs etc..Mwakyembe's report was good, but i dont think he had to look hard to find evidence..he just had to confirm it..lol
 
Mbalamwezi

JF-Expert Member
Sep 30, 2007
800
167
Kapinga,

i would agree with you in the context that technological advancement in mass media have accerelated the sharing of the Richmond affair.

But for a success show like the Richmond which brought down the arrogant heavy weights, it may as well be the result of a combination of many factors, not the spread of info alone. Information may result into action...or it may result into inaction.

Voluntary, or involuntary Political willingeness, which compells one to take action after the sharing of such info also counts. So mass media is an important catalyst in democratic development, in this context.
 
DAR si LAMU

JF-Expert Member
Mar 31, 2007
2,929
534
It seems it all started with one random email (who many thought was UDAKU au CHUKI BONAFSI) Mara zitto anasimamishwa kazi??,then slaa comes up, now the PM has resigned?? Je did CCM panic?I would not be surprised if the regulation of the internet in Tanzania changes real soon...WanaJF mnasemaje kuhusu hili?

..kwanza,net imefanikisha watu kufahamu hii issue kwa urahisi na in detail.

..pili,magazeti yakiongozwa na waandishi wajasiri wenye moyo wa uzalendo[na mambo mengine pia],yamehabarisha wananchi tanzania yote na kutia msukumo kwa wabunge kuwajibika.

..tatu,wabunge kwa kuwajibishwa na wananchi na kuona dalili za kitumbua kujaa mchanga wakaamua kufanya kile walichoajiriwa na wananchi kukitekeleza.

..nne,mwisho wa siku ni viongozi kubaini bomu la wakati walilokalia ambalo lilikuwa tayari kulipuka wakati wowote,na hivyo kuwajibika kulitegua.

..ukweli ni kuwa internet ilisaidia kusambaza habari. viongozi wa nchi wakisaidiwa na wabunge ndio waliomng'oa rich mondulian. maneno yake ni ushuhuda tosha wa kilichotokea,in a way.
 
Steve Dii

JF-Expert Member
Jun 25, 2007
6,403
1,234
Ni kweli kabisa, mtandao wa internet umekuwa nyenzo mojawapo madhubuti katika swala zima, na hivyo hatima ya Ndg. Lowassa kama waziri mkuu.

SteveD.
 
Kibunango

JF-Expert Member
Aug 29, 2006
8,164
1,835
Nahisi internet imechangia kwa asilimia kidogo sana,Magazeti na redio (FM) naona zimetoa mchango mkubwa, bila kusahau TV. Internet imeweza kutoa taarifa kwa mapana kwa wale walio nje ya nchi na kidogo kwa walio ndani ya nchi.
 
Mushobozi

JF-Expert Member
Aug 20, 2007
543
101
Nahisi internet imechangia kwa asilimia kidogo sana,Magazeti na redio (FM) naona zimetoa mchango mkubwa, bila kusahau TV. Internet imeweza kutoa taarifa kwa mapana kwa wale walio nje ya nchi na kidogo kwa walio ndani ya nchi.

i think the contribution from the internet has much to do with this scandle. look some of us including the member speaking here never read most of the tanzanian newspapers, but we are rich in information. most of the newspapers never give essential imformation unless to praise the government, and if they do it is by accident
 
mTz

JF-Expert Member
Aug 20, 2006
282
18
Internet imechangia kwa kiasi kikubwa but the effect was even bigger in combination with MPs like Zitto na Slaa na wengine ndani ya CCM ambao walikuwa wanachochea moto japo kwa chinichini. Kitu kimoja na mtandao kwa hali ya Tanzania ni kwamba watu ambao wana access ni wale ambao wana positions za juu kidogo nchini be it in Public or Private sector na Tanzanian Diaspora. Hii imesaidia kupata fununu za mambo mazito which was followed with a very critical analysis. Naamini JF inaisaidia sana executive kubrainstorm how to go about.
 
Kenyan-Tanzanian

JF-Expert Member
Nov 7, 2006
302
2

Nakubaliana nawe mkuu. Kujiuzulu kwa akina EL na Karamagi inakujaa baada wanJF wamekwisha toa analyses kalikalia tuu kuhusu hili ishu la Richmond. Sasa imebaki akina Bilali. Aiseee mpaka kieleweki hapo Benkii Kuu msiwaache hawa mafisadi wapumue.

Toka Nairobi twawatakia kila la heri kwenye harakati zenu Bongo.

KT
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom