Musa Mkama
MNAJIMU Mkuu Afrika Mashariki Sheikh Yahya Hussein, ametabiri kuwa kutokea kwa madhara mengi ikiwamo kiongozi mmoja wa nchi za Mashariki ya Afrika kutekwa nyara.
Akizungumza na...
I??
Kwa wiki kadhaa sasa bei ya sukari imepanda siku hadi siku. sina huhakika na na mikoa mingine ila nina uhakika na hapa Mwanza. ni jambo la kusikitisha kuona sukari inayotegemewa na karibu...
Meli yaungua feri (Posta ya Zamani)
Meli ambayo inasemekana ni ya uvuvi iliyokuwa imeegeshwa pembezoni mwa bandari ya Dar es salaam (Feri posta ya zamani) imewaka moto na kunguu vibaya...
Meneja mmoja wa usambazaji wa bia za TBL tanzania ameshauri baadhi ya watu kununua bia na kuziweka kwenye friji kabla ya ukata aujaanza kumwaga hadharani...akiongea kwa masikitiko amesema kutokana...
Madini kwa Mzungu, mashimo kwa Mtanzania!
Joseph Mihangwa
Julai 29, 2009
HATA kama isingekuwa udadisi wa vyombo vya habari, hatimaye ingejulikana tu jinsi tunavyoporwa utajiri wa madini yetu...
Mwane Mashungu.
SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imemfutia mashitaka mfanyabiashara maarufu Zanzibar, Said Nasir Bopar aliyekuwa akikabiliwa na tuhuma za kuiba dola 880,000 za Marekani kabla...
MWANAMKE mmoja Saida Hassan [26] amefikishwa Mahakamani kwa tuhuma za kutelekeza kichanga cha siku 9 katika nyumba ya moja ya kulala wageni jijini Dar es Salaam...
Ndugu zangu wapendwa, nimekuwa na mawazo tofauti kuhusu serikali kuendelea kuwatunza viongozi wetu Raisi na Waziri mkuu pale wanapoondoka madarakani.Kwa mujibu wa sheria wanatakiwa kutunzwa hadi...
hakika kwa takriban wiki mbili nimekuwa naangali vichwa mbali mbali vya habari vinavyotawala magazeti mbalimbali ya huko Tanzania na kuona vichwa vingi vinavyotawala ni OIC, Mahakama ya kadhi na...
Wapendwa natumaini wote ni wazima kwa uwezo wa mwenyezi mungu...leo hii ningependa wazazi wote waliobaahatika kuwa na wattoto wao vyuo vikuu...kila usalipo usiache kuwaombea watoto zenu
kuna...
Jamani hiki ni kioja cha mwaka yaani website ya bunge inamtaja Migiro kama ndiye scretary general, embu soma hapo chini..TAFADHALI SANA NI DEPUTY SECRETARY GENERAL
UN Secretary General, Dr...
Katika hali iliyoonyesha mahusiano mabaya ya kifamilia yanayosababishwa na wana siasa kujali sana siasa kuliko majukumu yao ya kifamilia jambo moja baya ambalo limejitokeza siku chache zilizopita...
Na Kizitto Noya, Dodoma
BAADHI ya wabunge wameitaka serikali kuufunga mgodi wa North Mara ulioko Tarime mkoani Mara, unaomilikiwa na kampuni ya Barrick kwa kuwa unahatarisha mazingira na fya...
Sina hakika kama na wenzangyu mmeliona hili lakini kwa siku za karibuni hili gazeti linaloaminika kwa taarifa moto moto na linalojulikana kwa kupigana dhidi ya ufisadi limekuwa likichelewa kutoka...
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, ametaka kunguru weusi au maarufu kama kunguru wa Zenji waangamizwe. Mimi binafsi ninamuunga mkono mkuu wa mkoa kwani kunguru hawa ni kero kweli kweli hasa kwenye ma...
Ni kwamba ile ni meli kweli, tofauti na wengine walivyodai kuwa ni boat
Sio ya mafuta ila ni ya mizigo inayopelekwa znz na ilikuwa inafanyiwa ukarabati kwa muda mrefu na kilichotokea ni kwamba...
Wakuu,
Napata taarifa sasa hivi kuwa kuna meli ya mafuta ya Bakhresa inaungua moto karibu na Posta ya zamani, naambiwa imeshaungua zaidi ya nusu...
Kama kuna wenye kuwa karibu na eneo hilo pls...
It wouldn't happen to the Koran: Pope attacks Glasgow art gallery's invitation to vandalise a Bible
By Graham Grant
Last updated at 10:53 AM on 28th July 2009
Pope Benedict XVI believes the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.