Katika hali iliyoonyesha mahusiano mabaya ya kifamilia yanayosababishwa na wana siasa kujali sana siasa kuliko majukumu yao ya kifamilia jambo moja baya ambalo limejitokeza siku chache zilizopita mjengoni ni pale mke wa Mh Selelii ambaye ni mbunge wa Nzega alipopanga foleni kudai posho iliyokuwa ikitolewa kwa madiwani wa viti maalumu wa wilaya ya NZega. mchezo wenyewe ulikuwa hivi! Mbunge wa viti maalumu mkoa wa Tabora Mh Aziza Sleyum Aly alitoa mialiko kwa madiwani wa viti maalumu wilaya ya Nzega nafasi ambayo Mh Selelii pia aliona aitumie nafasi hiyo pia kumualiaka mamsapu wake pia ambaye vyanzo vya habari vinadai kuwa ilikuwa ndio mara yake ya kwanza kukanyaga mjengoni! baada ya matukio yote kwenda kama yalivyopangwa na mwenyeji wao ambaye alikuwa ni Mb viti maalumu nilie mtaja, mwenyeji huyo aliamua kuwapatia wageni wake package ambayo ingeweza kuwa kimu katika maisha ya Dodoma kwa siku chache watakazo kuwepo hapo. katika hali ya kustaajabisha mama selelii nae alipanga foleni katika mgao huo kitu kilichomfanya Mh Aziza anong'one na baadhi ya madiwani kushangaa sababu ya maam selelii nae kupanga foleni ya mgao wakati aliye mwita Dodoma ni mumewe yaani Mh Selelii hata hivyo Mh Aziza alilazimika kumpa posho mama huyo huku akinung'unika, swali hapa je mke wa Mh selelii kudai posho katika mgao wa madiwani ni sa hihi wakati hakuitwa na aliyekuwa akigawa posho hizo?