ukweli wa meli ilyoungua.

Kaitaba

JF-Expert Member
Jun 30, 2009
916
52
Ni kwamba ile ni meli kweli, tofauti na wengine walivyodai kuwa ni boat

Sio ya mafuta ila ni ya mizigo inayopelekwa znz na ilikuwa inafanyiwa ukarabati kwa muda mrefu na kilichotokea ni kwamba mafuta yalimwagika na kushika cheche zilizokuwa zinadondoka kutoka walipokuwa wanachomelea na kushika moto.

Kama kuna wenye taharifa zaidi/tofauti ya hizi watujulishe.
 
uzembe unaimaliza nchi yangu!

Pamoja na uzembe, hata uzarendo umeisha, maana wanaoitafuna nchi wanaachwa tu, kesi zao mpaka leo mimi sijui kinachoendelea, kampein zikikaribia kesi zao zinaanza tena,

wizi mtupu.
 
Back
Top Bottom