website ya bunge-kioja

website ya bunge-kioja

Mchaga

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
1,377
Reaction score
209
Jamani hiki ni kioja cha mwaka yaani website ya bunge inamtaja Migiro kama ndiye scretary general, embu soma hapo chini..TAFADHALI SANA NI DEPUTY SECRETARY GENERAL

UN Secretary General, Dr. Asha-Rose M. Migiro visits Bunge on 22.8.2008 in Dodoma
 
Hiyo itakuwa ni typing error. Sidhani kama ni kusudi. Website yao nzuri sana na ipo up-to-date!
 
kwangu mimi ni vigumu sana kukuelewa na justification yako...🙂
 
Back
Top Bottom