Wazazi waombeeni watoto wenu vyuo vikuu...hatari

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,138
Wapendwa natumaini wote ni wazima kwa uwezo wa mwenyezi mungu...leo hii ningependa wazazi wote waliobaahatika kuwa na wattoto wao vyuo vikuu...kila usalipo usiache kuwaombea watoto zenu
kuna wengine kwa kweli si wao bali ni mapepo yamewaingilia na ndio mmaana ukiwa kama mzazi...unaitaji kuwasha moto kwa ajili ya watoto wenu....kuna ambao kwa kweli wanasoma wakifika usiku wanakuwa kama SIMBA......,jamani nimesikitika sana majuzi kuona watoto wa vyuoni wanavyojiuza pale makumbusho...nilipoelekea corner bar kunywa supu nikawakuta wanajiachia kwa kwenda mbele...tena wako kule mwisho kabisa kuna jumba bovu ambalo halijaisha ndilo watu wanashugulikiwa hapo vya fasta...kwa kweli nkaona wanaitaji kuombewa ukiangalia ni watoto wazuri hakuna kinachoshindikana;we ukiwa mwanachuo na unahusika na mambo haya machafu jitahidi uache utakuja kuona rha zake baada ya kumaliza chuo...na sio sasa kujirusha utajirusha sana mwisho unajuta

nawatakia kila la kheri wanafunzi wote wa vyuoni..ujumbe tujitahidi kuft yale yaliotupeleka chuoni....
 
mkuu wale ni nmachangudoa wa pale kona bar wanajifanya wanafunzi wa chuo pale ustawi wa jamii
 
Sasa tuwaombee wa nini hao? Jitu kama likishavuka miaka 18 hilo linawajibika na matendo yake.
 
Wapendwa natumaini wote ni wazima kwa uwezo wa mwenyezi mungu...leo hii ningependa wazazi wote waliobaahatika kuwa na wattoto wao vyuo vikuu...kila usalipo usiache kuwaombea watoto zenu
kuna wengine kwa kweli si wao bali ni mapepo yamewaingilia na ndio mmaana ukiwa kama mzazi...unaitaji kuwasha moto kwa ajili ya watoto wenu....kuna ambao kwa kweli wanasoma wakifika usiku wanakuwa kama SIMBA......,jamani nimesikitika sana majuzi kuona watoto wa vyuoni wanavyojiuza pale makumbusho...nilipoelekea corner bar kunywa supu nikawakuta wanajiachia kwa kwenda mbele...tena wako kule mwisho kabisa kuna jumba bovu ambalo halijaisha ndilo watu wanashugulikiwa hapo vya fasta...kwa kweli nkaona wanaitaji kuombewa ukiangalia ni watoto wazuri hakuna kinachoshindikana;we ukiwa mwanachuo na unahusika na mambo haya machafu jitahidi uache utakuja kuona rha zake baada ya kumaliza chuo...na sio sasa kujirusha utajirusha sana mwisho unajuta

nawatakia kila la kheri wanafunzi wote wa vyuoni..ujumbe tujitahidi kuft yale yaliotupeleka chuoni....

yaani ni wanachuo wote wake kwa waume au????????
 
Tupe ushahidi kama kweli ni wanachuo. How did you prove it? Sikatai wanaweza kuwepo lakini si to the extent uliyoongelea. Fanya utafiti utagundua wengi ni machangu wa kawaida wajidai wanachuo.
 
weka mambo kitafiti zaidi
umejuaje ni wanafunzi tena wa vyuo??????
and mind u econ. Rec.inachangia
 
una ushahidi gani kama waliokuwepo hapo ni wanafunzi wa vyuoni..au uliwafanyia usaili hapo..acha kuwa muongo..
 
Pdidy,

Hapa hujafanya utafiti, inaonekana ulivyo jaribu kuongea nao ili upate huduma wakakuongelesha lugha ya kigeni ukajua ni wanachuo, la hasha, kuna machangudoa kibao ambao wengine wamemaliza chuo na wanafanya hivyo kama biashara na wanajua wanafanya nini.

Kwa umri wao wala usiwaonee huruma ni watu wazima na siku ya siku wata wajibika kwa matendo yao leo. Wange kuwa ni watoto wa sekondari au primary then we can think of doing something lakini hao walio kubuhu la hasha.
 
Mnasahau?? Nairobi mwaka juzi police waliwakamata wachangu kama 160 kutoka club/maeneo mbalimbali.

100 ya hawa machangu walikuwa ni wanafunzi wa vyuo vikuu!

Ilikuwa Vyuo kwenda polisi kuwatoa: yaani ilikuwa ni aibu tupu!

Ila yote ni maisha tu!
 
mimi nina aidia moja.
location za hawa machangu ni tofauti, kwamfano pale corner bar chuo kilichokua jirani na pale ni ustawi wa jamii, na pale kuna totoz za maana teh teh teeeh, unaona bana, sasa katika kutafuta soko na biashara ni matangazo au sio wakuu, hawa machangu wengi wanajifanya ni madenti wa pale chuo, na watazuga zuga ni kiingereza feki cha kuombea maji kweli utajua changu classic so atakutajia dau kubwa kisa atakwambia ye denti na wewe mteja utaona yes umepata kitu!.
wanatumia majina ya vyuo vya jirani kuharibu sifa za wadada wa hivyo vyuo, mfano kule makumbusho watajifanya wa kile chuo cha uandishi wa habari, au maeneo ya mwenge watajifanya madenti wa mlimani au ardhi.

NB:
ila pamoja na hayo, wapo wanafunzi ambao kweli ni machagudoa ambao wanafanya hiyo biashara kuganga njaa, sasa hawa machangu madenti walipojichangany na machangu-original, hawa machangu original ndio wakapata ujanja wa kutumia au kujifanya nao wanafunzi, inaonyesha hawa madenti machangu walikua wanasoko zuri, sasa si mnajua tena wakuu ushindani wa kibiashara lazima utumie mbinu za mpinzani wako?, matokeo yake ndio hayo samaki mmoja akioza wote wameoza. kwa hiyo wale machangu original nao wanajifanya madenti siku hizi
 
Last edited:
Msibishe ndugu zangu anachosema Pididy ni sahihi kabisaaaa. watoto hawa shauri ya tamaa wamekuwa hatari. Na hao wateja sasa kama wangekuwa hawaonekani ingekuwa sawa lakini pande zote mbili zinaona sawa hivyo inakuwa ngumu sana kudhibiti. Wateja msiende soko litakuwa hakuna!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom