Bia za tbl kuongezeka bei???

Bia za tbl kuongezeka bei???

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,775
Reaction score
37,960
Meneja mmoja wa usambazaji wa bia za TBL tanzania ameshauri baadhi ya watu kununua bia na kuziweka kwenye friji kabla ya ukata aujaanza kumwaga hadharani...akiongea kwa masikitiko amesema kutokana na kandhari ya leo....wameambiwa wawe makini na stock iliyoo.....habari njema kwa serengeti lager...............Kutokana na hili kuna wasiwasi wa bia kuongezeka bei..na kuwashauri watu kuwahi kununua nyingi waweke nyumbani kama gla la kuhifadhi vyakula.....
 
Mmh! sasa sijui tununue na kuweka stock kiasi gani!? Si zitaisha tu? Tusubiri tu zipande. Zitanywewa tu hata kama ni kwa gharama gani! Hakuna jinsi.
 
Mimi nitaacha kupata tusker: sijui ninywe nini?? Naomba ushauri..kama sii tusker nipate nini??
 
Back
Top Bottom