Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

HICHI NI KIZAZI CHA UDSM Sasa imetimia zaidi ya 12 toka kuanzishwa vyama vingi nchini Tanzania , kuanzishwa kwa vyama hivi ilionekana kama vile ndio mwokozi Fulani hivi kwa wananchi wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari toka dodoma zinasema treni mbili za mizigo zimegongana uso kwa uso asubuhi hii karibu na stesheni ya zuzu nje kidogo nan mji wa dodoma katika reli ya kati. Kwa mujibu wa mganga mkuu wa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Siku hizi kusikia kwamba mwanachi asiye na hatia ameuwawa na Polisi si jambo la ajabu tena.Polisi nao sasa wanajichukulia sheria mikononi mwao.Matukio ya namna hii yameripotiwa na vyombo vya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Benard Tabaire African countries are different in many respects as are the countries of other continents. In his Accra speech last week, however, U.S. President Barack Obama addressed the...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tanzania National Assembly. Members of Parliament have asked the government to be extra careful when discussing the issue of land in the East African Community (EAC). The legislators sounded...
0 Reactions
0 Replies
937 Views
Siku zote ninaamini katika ukweli kwa kuwa daima humweka mtu huru hata kama unauma Wakati Bw.Charles Keenja anaomba kura za wanaubungo wa kibangu na makoka aliweka bayana kuwa yeye na CCM...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Rose akikagua vyitu vyake vilivyotupwa nje na mwenye nyumba wake Kijana huyu anakagua kama CD zote vipo. Sipati picha kama ingekuwa Kinondoni ingekuwaje, hata sisi tusingeweza kupiga picha...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Polisi wa ukonga hapa Dar, jana wamemchukua raia nyumbani kwake jioni, na kwenda naye kituoni kwa mahojiano, ndugu zake walipoenda kesho yake wakaambiwa kuwa ndugu yao, amepata homa hivyo kalazwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Pagan police to get witchcraft holidays Thursday, July 16, 2009 Chants: Andy Pardy Police officers who indulge in witchcraft have been given the right to take Hallowe'en and the summer...
0 Reactions
0 Replies
864 Views
Angola police say release 29 children from sect. Angolan police rescued 29 children accused of witchcraft from a house that belongs to a religious sect leader who says he has special powers...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mjadala uliotawala katika bunge kuhusu Wizara ya maliasili na utalii, kuhusu contena zilizoshikwa na pembe za ndovu huko vietnam, wanashagha nini ? Eti limepitaje mpaka kufika huko ? Naona wengi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jikumbushe maneno haya ya aliyekuwa Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Michael Retzer, alipokuwa akiwaaga Watanzania nyumbani kwake 30.08.2007 Dar es Salaam. "Kwa bahati mbaya, matatizo ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wana jf kama inayojulikana kila mtu anakula madhbahuni mwake lakini kuna mambo ambayo inabidi uangalie jinsi ya kula usije kimbiza waumini ukaulizwa siku ya mwisho...hali hiyo imeanza kutokea kwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, Askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani Wilaya ya Mpanda mkoani Rukwa PC Omary, amenusurika kufa baada ya kupinduka mtoni wakati akiendesha gari alilomnyang'anya...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Tumekuwa katika harakati nyingi saana za kuelezea masikitiko yetu ya namna nchi inapoelekea. Kila mtu anaguswa kwa namna moja au nyingine na mustakabali wa Taifa. Sasa ndugu wana JF, je tunao watu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wana JF naomba kutoa hoja, tumezoea kuona companies nyingi kufanya promotions mabalimbali, lakini hili la kutoa 100M kwa mtu mmoja wakati una wateja Mil 5, sio busara. wapo wateja wengi ambao...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wandugu napenda kuelezea hisia zangu kwa hili tangazo la TAMWA, linalomuonyesha binti wa shule akipambana na vikwazo na majaribu mbalimbali nimelipenda sana. Siku zote nilikuwa nikifikiri njia...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kama Mtanzania mwenye utu, pindi upatapo nafasi ya kumtia Banza machoni kwa kipindi hiki, yamkini utamlilia msanii huyo nembo ya muziki wa dansi ambaye anahitaji msaada wa hali na mali kuirejea...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Tangu sherehe za Nane Nane zimeanzishwa ni muda mrefu sana sasa.Nitakuwa mwongo nikisema nakumbuka mwaka zilipoanzishwa rasmi,kwa kweli sikumbuki.Wana JF nisaidieni.Lakini swali la msingi ni hili...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna tetesi kuwa jeshi linatarajia kufanya mazoezi ya kivita mkoani pwani wiki ijayo, Pia inasemekana kuwa yatakuwa niya usiku na mchana, kwa wiki nzima, Pia wavuvi wametakiwa kutovua ktk siku...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom