Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jamani naomba tafakari ya picha hii Sasa na hii ndio kiboko ya yote
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimesikia taarifa ya habari ya saa saba mchana huu Radio TBC ikieleza kuwa kuna watu wamekamatwa leo ktk Bus litokalo Dar-Mtwara wakiwa na vifaa haramu vinavyotumika kutengeneza mabomu ya mkono(...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Thousands of climbers are risking their health by emulating celebrities who have scaled Mount Kilimanjaro, scientists are warning. Top of the world: Office worker Julianne McGregor...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
NINATAKA KUTOA MAONI YANGU KWA KUTUMIA TU UHURU WANGU WA KUTOA MAONI. NINYI MASHABIKI WA CHADEMA MSIJE KUNISHAMBULIA NI USHAURI WANGU. 1. Kwa kuwa Sheikh Yahya aliahidi kutoa ulinzi wa majini kwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Dhahabu yafumka Matombo na Joseph Malembeka, Morogoro ENEO la Matombo, wilaya ya Morogoro Vijijini limevamia na makundi makubwa ya watu kutoka sehemu mbalimbali nchini kutokana na eneo hilo...
1 Reactions
6 Replies
6K Views
CCM badala ya kumtafuta mchawi ni kwa nini tunamfuta kazi JK ambaye kabla ya uchaguzi kuanza, Makamba alidai CCM haina mtaji mwingine wa kisiasa ila JK wakati mtaji stahili ni itikadi sasa waelewe...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
By Gwynne Dyer WTH this law Israel buys an exit ticket from the family of nations,” wrote Israeli journalist Nahum Barnea last week in the newspaper Yedioth Ahronoth. “The proposed loyalty...
0 Reactions
0 Replies
962 Views
Source: http://vijana.fm/2010/09/28/tunawasilisha-tzelect-chombo-cha-ushahidi/ Vijana FM inatumia Crowdmap, chombo kilichojengwa na Ushahidi, kukusanya taarifa, mawazo na uzoefu wakati wa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Usiku wa kuamkia leo nimeota ndoto. Tulikuwa Mimi na Kikwete kwenye kingo ya mto mmoja mkubwa. Ng'ambo kulikuwa na kundi kubwa la watu wakisikiliza kampeni za kikwete. Kama kawaida yanke akamwaga...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kumekucha sasa si wakati wakulala ile ndoto ya cuf ya kuikamata ikulu ya zanzibar zazidi kupotea baada ya vigogo wake wawili kurudi ccm chama cha kijani chenye mvuto na ushindi wa kishindo na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mwisho chali Bigbro allstars 2010. UTI (Nigeria) ashinda zile US do'z 200000/= akifuatiwa na Munya(Zimbabwe) ,Lerato (SA)
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Na Joster Mwangulumbi - Imechapwa 13 October 2010 CCM yafika mwisho wa barabara | Gazeti la MwanaHalisi KIONGOZI yeyote aliyekaa madarakani muda mrefu akianza kutapatapa, ujue mwisho wa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ninawaomba wenye hekima katika masuala ya hotuba msaidie katika kuandika Hotuba ya JK ya kukubali kushindwa mimi nitatafuta njia ya kumpelekea sio kwa kumkejeli bali kwa nia ya kumtia moyo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Niliwahi kuona hoja hapa ukumbini mtu akihoji mavazi ya wagombea wa Chadema, hii ya wa CUF imenifutia sana! Je huyu anaweza kuunda dola? Source: Francis Godwin ni mzee wa matukio daima
0 Reactions
3 Replies
2K Views
...wengi walio ndani ya blanketi zito la CCM na kulala usingizi wa pono wanabeza kwamba baadhi ya ahadi ambazo Slaa (PhD) anasema atazishughulikia ndani ya siku 100 kwamba haziwezekani ilhali...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna watu wanakatisha watanzania tamaa ya kuchagua vyama vya upinzani kwa kusema ati hata kama vikichaguliwa matokeo yatabadilishwa. Napenda kuwatia moyo, kila mtu aamue kadiri ya utashi wake...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
TUMIA KURA YAKO KUSAIDIA KUPATA VIONGOZI WACHAPAKAZI NA SI WASANII
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Rais duniani anachaguliwa kwa misingi mikubwa miwili;kwanza anapimwa kwa sera zake endelevu kuhusu uchumi na mikakati yake ya kuuimarisha na mbili anapimwa kama anaweza kuongoza vyema majeshi ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wanaichukia Internet. Wanatumia Internet kumhujumu Dr. Slaa. Tunatumia Internet kufahamu walichokifanya na hata walipofanyia conspiracy nzima. Tulianza na Windows 3.1, ikaja Windows 95, Ikaja...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hivi watanzania tumelalaa??au niustarabu??ulishawahi kuwa nashahuku yakupanga NHC??Je ulijiuliza swali gani??nadhani ulikata tamaa kwa jinsi ambavyo ungelianza ukaona nindoto za mchana kwakuwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom