Tunamfukuza kazi JK kwa kudhoofisha uchumi ila twamwongezea Mahakama za kadhi na OIC. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tunamfukuza kazi JK kwa kudhoofisha uchumi ila twamwongezea Mahakama za kadhi na OIC.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Rutashubanyuma, Oct 18, 2010.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,528
  Likes Received: 415,716
  Trophy Points: 280
  CCM badala ya kumtafuta mchawi ni kwa nini tunamfuta kazi JK ambaye kabla ya uchaguzi kuanza, Makamba alidai CCM haina mtaji mwingine wa kisiasa ila JK wakati mtaji stahili ni itikadi sasa waelewe sababu za kumfuta kazi kinara wao huyo na wabunge wengi maarufu wa CCM kubwaga chali ni hizi hapa:-

  a) kudhoofisha uchumi na kutuacha hali yetu kama taifa kuwa ni ombaomba tu. Hata Jk kwenye kampeni amefikia hatua haoni aibu kuwa ahadi zake zitategemea huruma za Obama na marafiki zake. Sisi watanzania hatutaki kuwa ombaomba na hii ni sababu ya kumfuta kazi JK na CCM yake kwenye chaguzi hii

  b) Sababu ya pili ni CCM kutokosea adabu pale walipojigamba kuwa wana ubavu wa kuanzisha mahakama za kadhi ndani ya serikali jambo ambalo katiba inalikataza kabisa kwa sababu nchii hii haina dini. Jeuri hii ya JK na CCM yake sasa itaona ghadhabu za wapigakura kwa kutaka kutuondolea amani hii ambayo msingi wake ni usawa kwa dini zote.

  c) JK alitaka kuutafuna mfupa wa kujiunga na OIC ambao Mzee Rukhsa alijaribu kuutia kinywani kwake lakini meno aliyaacha kwenye mfupa huo. Jeuri hii ya JK sasa kupata funzo la maisha kutoka kwa wapigakura hivi karibuni.

  Zipo sababu nyingine lakini kubwa ni hizo tatu na tunataka Dr. Slaa achukue nchi ili akomeshe wababaishaji wa CCM kuchezea katiba ya nchi yetu watakavyo kutokana na kulewa kilevi cha madaraka kwa muda mrefu..........


  CHAGUA DR. SLAA....CHAGUA CHADEMA.......................
   
 2. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  a) kudhoofisha uchumi na kutuacha hali yetu kama taifa kuwa ni ombaomba tu. Hata Jk kwenye kampeni amefikia hatua haoni aibu kuwa ahadi zake zitategemea huruma za Obama na marafiki zake. Sisi watanzania hatutaki kuwa ombaomba na hii ni sababu ya kumfuta kazi JK na CCM yake kwenye chaguzi hii
   
 3. Ami

  Ami JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2010
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 1,858
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  RUTA itakuwa umetumwa na CCM kummaliza dkt.Slaa.Umesema:

  Sababu ya pili ni CCM kutokosea adabu pale walipojigamba kuwa wana ubavu wa kuanzisha mahakama za kadhi ndani ya serikali jambo ambalo katiba inalikataza kabisa kwa sababu nchii hii haina dini. Jeuri hii ya JK na CCM yake sasa itaona ghadhabu za wapigakura kwa kutaka kutuondolea amani hii ambayo msingi wake ni usawa kwa dini zote.

  JK alitaka kuutafuna mfupa wa kujiunga na OIC ambao Mzee Rukhsa alijaribu kuutia kinywani kwake lakini meno aliyaacha kwenye mfupa huo. Jeuri hii ya JK sasa kupata funzo la maisha kutoka kwa wapigakura hivi karibuni.

  Sisi tunajua kwamba hizo ndizo ajenda za dkt.Slaa lakini mwenyewe hawezi kuziweka wazi.CCM wangependa atambulike hivyo ili kura ziondoke kwake.
  Zamani muliamini hivyo kuwa nchi hii ni ya wakristo na hivyo kila unayezungumza naye au anayezungumza nawe hata kwenye internet basi ni mkristo.Ndio maana umejiamini kusema JK atatiwa adabu na wapiga kura kwa kutaka kuiingiza nchi katika OIC na kuleta mahakama ya kadhi.Umesahau kuwa wengi wa wapiga kura wanataka haki hiyo ya kujiunga na OIC hata ikiwa ni kinyume na katiba kama vile ilivyo kwa kuwepo kwa ubalozi wa Vatican nchini.
  Sisi mwaka huu tunataka tuoneshe nguvu yetu kwa kumnyima kura dkt.Slaa na kumpa Kikwete ili ikiwa kweli ana nia hiyo aitekeleze.Asipoweza baada ya uongozi wake Tanzania hapatakuwa pahala pazuri tena kwa mtawala ajae kuwaburuza tena waislamu.
   
 4. n

  ndeukoya Member

  #4
  Oct 18, 2010
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haya yote jamani ni marudio kilichobaki ni kupiga kura tuache sound
   
 5. N

  Nyumbu- JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 969
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 60
  Nyinyi na nani? Wewe si msemaji wa sisi waislamu ebo! Si wote ni mandondocha kama unavyofikiri....JK kafanya maisha yawe magumu kwa Waislamu na Wakristo na wasio dini...usilete uwongo hapa kwamba waislamu wote watampigia JK......

  Halafu si kweli kwamba Waislamu wameburuzwa na Wakristo: kwa taarifa tu baba yangu ni shehe na mie nimesoma St Joseph Commercial School Tanga kwa msaada wa mastser, na nikaajiriwa nao mpaka nilipopata kazi nyingine....
  Acha kutuweka kwenye kapu lako la uanafiki kwamba unaongea kwa ajili ya Waislamu....hatudanganyiki tena !
   
 6. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2010
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Mkuu afadhali wewe unasema. Maana kuna wajinga hapa JF wanaona ni heri JK mwislamu aendelee kuwa rais kwa kuwa yeye ni mwislamu, hawajali demage aliyoleta kwa uchumi wa nchi. Amevuruga uchumi ambao unawaathiri watanzania wote bila kujali dini zao. Naona huo ni upuuzi kweli kweli. Kuna watu ambao wameishiwa sera wanajaribu kutumia udini.

  Wengine hata hawshituki rais anasema wazi kuwa watanzania tunakula kutokana na yeye kwenda kuomba nje, huwezi kuamini pamoja na jasho lote wanalovuja watanzania ambalo linaliwa na mafisadi yeye anasema kula yetu inatokana na kuomba, then watu na akili timamu wanasema JK JK JK, hapa ndipo ninapoona kuwa Nyani Ngabu anasema ukweli, waafrika ndivyo tulivyo. Tunaambiwa sisi wapumbavu halafu tunaendelea kuchekelea.
   
 7. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #7
  Oct 18, 2010
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Mkuu kuna nyingine ya kufanya chama kama ni family peroperty, never happened before nafasi ya wazee wa chama kuchukuliwa na mtoto wa Rais. Sasa hivi ni rahisi kumsikia Ridhiwani akizungumzia kupinga mgawanyiko ndani ya Chama lakini humsikii Sumaye, humsikii Mkapa, humsikii Mwinyi, warioba, Malecela au wazee wengine hata ukiwasikia wananchoongea hakina uzito kwa kuwa hawataki kutia uzito wao,wooote nafasi yao imechukuliwa na Ridhiwani what a slap on face of our elders, and what a slap to Tanzanians, and then some stupid guy comes and think we are all a bunch of fools and ******.
   
 8. S

  So Perfect Member

  #8
  Oct 18, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  WEWE kama unadhani nchi hii itakuja kuongozwa na padri unakosea sana! mjiandae kwa maumivu tuu
   
 9. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #9
  Oct 18, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kadhi au ndugu yake na kadhi ni mambo ya kiislam na ni haki ya waislam LAKINI nje ya KATIBA
   
 10. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #10
  Oct 18, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  kwa hiyo dk slaa yeye ataipiga marufuku kabisa neno mahakam ya kadhi?

  Malaria Sugu!Tanzania bila mahakama ya kadhi inawezekana!
   
 11. S

  So Perfect Member

  #11
  Oct 18, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tanzania bila ukatoliki inawezekana
   
 12. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #12
  Oct 18, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  [tanzania bila ukatoliki inawezekana !]

  Oh!kumbe mahakama ya kadhi ni dini!
   
 13. mwakaboko

  mwakaboko JF-Expert Member

  #13
  Oct 18, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 1,841
  Likes Received: 253
  Trophy Points: 180
  ni ujinga kudhani kuwa Dr.Slaa anagombea urahisi kwa sababu ya ukatoliki wake, wenye mawazo hayo mbona hamkusema alipokuwa mbunge kuwa hoja anazotetea alipokuwa bungeni kuwa ni kwa maslahi ya wakatopliki.
   
 14. M

  MILKYWAY GALAXY JF-Expert Member

  #14
  Oct 18, 2010
  Joined: Dec 12, 2008
  Messages: 201
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Wandugu,

  Katika pita pita zangu nimekutana na hili bango la ndugu JK na CCM eti katuletea/katujengea heshima nje ya nchi.
  Limeambata na picha za watu kama bushi, papa, nk.
  Nilicheka sana,
  Katuletea heshima kwa kulia lia na kuomba omba misaada huko nje ilhali tuna utajiri wa raslimali za kufa mtu?
  Kazi kweli tunayo.
   
 15. Nono

  Nono JF-Expert Member

  #15
  Oct 18, 2010
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,305
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Suala la imani ni haki ya kimsingi ya raia yeyote na halipaswi kuingiliwa na yeyote. Kila mtu ana uhuru wa kuamini atakacho ilimradi asiingilie uhuru wa raia mwingine. Hivyo Tanzania bila uislamu, Ukristo, Ubudha, Upagani n.k haiwezekani. Labda liwe taifa lililokufa!
   
 16. Mpendanchi-2

  Mpendanchi-2 JF-Expert Member

  #16
  Oct 18, 2010
  Joined: Apr 4, 2009
  Messages: 305
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0


  Acheni Imani za Kidini wakati mnajadiri mambo muhimu yakulikomboa Taifa, wenzenu mafisadi wanawachomekea hizo chuki za ajabu ili kuwagawanya waweze kuwaibia vizuri na ninyi kwa ujinga wenu mnategeka kirahisi hivyo!!!. Hata mtoa hii hoja huenda ni jamii yao anaweka kwa makusudi ili kuwagawanya msiweze kushinda katika hii vita ngumu ya kuwang;oa mafisadi. It is real a hard job to deal with your enemies whom some of them are within yourselves.

  Ushauri wangu tuachane na chokochoko za kidini ili tuweze kusonga mbele na hili vuguvugu letu la mapinduzi ya kweli na ikifika 31st Octobar, tubadili historia kwa kumchagua Dr. Slaa ambaye wote bila kujali dini zao wanamtambua kuwa ni mwokozi wa Taifa hili.

  Ikiwezekana MOD andoa hii Thread peleka kwenye udini huko wanaotaka waende huko!!
   
 17. Ami

  Ami JF-Expert Member

  #17
  Oct 18, 2010
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 1,858
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Tatizo liko pale pale!.Ukisema JK ataonja ghadhabu za wapiga kura.Hao wapiga kura ni nani?.
  Wewe unadhani hizo kura ni yako na watu wa aina yako tu.Juwa kwamba ni pamoja na sisi waislamu ambao ni wengi.Nani kakuchagua uwe msemaji wa wapiga kura.!.
  Suala la wewe kuwa muislamu,mtoto wa shehe uliyesomeshwa kwa ufadhili wa masister ni la kwako zaidi.Lazima umpigie kura Slaa kulipa fadhila.Wenzako sisi tulisoma kwa tabu kwa pesa za wazee wetu.Angalau sasa hivi shule nyingi za kata zinasaidia kutusomesha sisi tusiokuwa na wafadhili.
  Tunataka tuchague mtu atakayetuondolea kusomeshwa kwa kufadhiliwa na wajanja wa kuitukuza dini yao.
   
 18. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #18
  Oct 18, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Ukiona mtu amevaa suruali fupi na ndevu nyingi basi kuwa makini na hoja zake. Mkuu ulikuwa unaimanisha nini kwenye bandiko lako ? Naona umeandika kwa hisia na hasira kali.

  Calm down, peoples power! Vote for a change
   
 19. Ami

  Ami JF-Expert Member

  #19
  Oct 18, 2010
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 1,858
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Masanilo mwambie huyo jamaa.Akiingia hapa atuangalie sana watu wa aina yetu uliotueleza

   
 20. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #20
  Oct 18, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Yakhe usichulie personal hebu tusonge mbele!
   
Loading...