Vifaa vya kutengenezea Mabomu yajulikanayo kama Baruti vyakamatwa Lindi vikielekea Mt | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vifaa vya kutengenezea Mabomu yajulikanayo kama Baruti vyakamatwa Lindi vikielekea Mt

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Lu-ma-ga, Oct 18, 2010.

 1. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,840
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Nimesikia taarifa ya habari ya saa saba mchana huu Radio TBC ikieleza kuwa kuna watu wamekamatwa leo ktk Bus litokalo Dar-Mtwara wakiwa na vifaa haramu vinavyotumika kutengeneza mabomu ya mkono( NYAYA, CHIMVI CHUMVI N.K).Taarifa hizo zimetolewa na RPC lindi na watuhumiwa wako mikoni mwa police.Mwenye taarifa zaidi atumwagie tafadhali
  jE NI HARAKATI KAMA ZA 2005 DHIDI YA CUF KUHUSU CONTENA LA VISUUUUU?????

  Source:RADIO TBC
   
 2. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mh,ngoja tusikie itakuwaje
   
 3. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Isije ikawa ni milipuko ya kulipulia miamba
   
 4. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #4
  Oct 19, 2010
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Tusikimbilie kujaji, tupe details, au mwenye taarifa kamili atupe
   
Loading...