SERIKALI imeshauriwa kuongeza juhudi katika kutoa mafunzo, kwa walimu maalumu wa kufundisha watu wenye ulemavu.
Rai hiyo ilitolea juzi Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sinza Maalum,jijini Dar es Salaam...
:alien:Hodi wanaJF! Jana tulijuzana kuwa Jaji Rugazia alipata ajali akiwa na Jaji mwenzie mke wa Makongoro Nyerere. Je alikuwa anaendensha gari la kijaji (J--) au la kwake binafsi? Kuna tetesi...
Gharama ya kura yangu
Ndugu Watanzania. Mwaka huu wa-Tanzania tumepata tena nafasi ya kufanya maamuzi magumu nchini mwetu, maamuzi ya kuchagua viongozi watakaokuwa na majukumu ya kutuendeleza...
Rehema Matowo, Hai.
BALOZI wa Ujerumani nchini, Guido Herz ameisifu Tanzania kwa kutokuwa na tatizo la ukabila akisema jambo hilo ni moja ya sababu kuu zinazoimarisha utulivu wa kisiasa.Balozi...
jamani leo katika pitia pitia yangu ya gazeti la michezo la bingwa kuna makala moja imeandikwa na mwandishi mmoja anaitwa ojuku abrahamu anazungumzia kuhusu wasanii anawashangaa hivi kwa meseji...
Wana jamvi nimepata taarifa muda mfupi kuwa FUSO la kubeba mchanga limegonga na kulalia watu waliokuwa kituo cha basi. wenye Taarifa kamili walio karibu na eneo la tukio
Nilitembelea huku jamii forum siku moja na nikapata website inayodownload wimbo wowote wa Tanzania unaoutaka, mfano nilidownload binti kiziwi mp3. naomba mnikumbushie hiyo website sikuserve...
kwenye matuukio mengi yanayopeleka kifo cha mwanadamu kuna kauli nyingi hutamkwa. swali au maswali yanakuja kama unaamini Mungu ndiye anapanga kifo cha mtu
1. unaamini kwamba anapanga pia namna...
The Church Of Satan
Just in case you haven't read any Satanic material before now, here is a quote from The Satanic Bible:
There is no heaven of glory bright, and no hell where sinners roast...
wakuu,
mamlaka ya ustawishaji makao makuu dodoma, CDA, lililoanzishwa kwa notisi namba 230 ya serikali ya tanzania ya tarehe 12 desemba, 1973; juma hili linasherehekea wiki lake kwenye viwanja...
Mothers are more critical of their daughters than their sons and let boys get away with more, a poll suggests.
The survey by the website Netmums found mothers were twice as likely to be...
Ndugu zangu naomba kuuliza huu utaratibu unao tumiwa na hizi shule za udereva (Driving Schools) wa dereva aliye mafunzoni kuendesha gari huku akiwa amepakia wenzake na kupita nao katika barabara...
Leo nimesikia huu msamiati ukitumika, ningependa kujua kama ni msamiati sahihi na kama matumizi yake kwa mukhtadha wa hapa chini ni sahihi.
Wenyewe wanasema mdororo wa uchumi duniani. Mimi...
Leo wakati nasikiliza BBC asubuhi kuna watu walikuwa wanahojiwa kuhusu ajali iliyowahi kutokea huko nyuma kule Kongo mashariki. Ajali hii ni ile iliyohusisha lori la mafuta lililopata ajali ambapo...
THE NEW DRIVING LICENSE SYSTEM
1.0 INTRODUCTION
The government introduced a new computerized driving license system which has replaced the old system. The objective of this new system is to...
Wakuu,
Nimekua nikijiuliza kwa muda sasa ni vitabu gani rais wangu anavisoma...
sababu kubwa ya kuuliza haya ni jinsi anavyoapproach matatizo ya wananchi na jinsi anavyoelezea mafanikio ya nchi...
kweli nimeamini HATAMU IKISHIKWA PUNDA SHARTI LAZIMA AENDE ,,,,WANANCHI wenzangu mnadanganyi kwa maneno ivi hamji kuwa hao mnaowapigania ni mafisadi zaidi jinsi mnavyofikiri ki ukweli CHADEMA si...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.