Tukishinda: Sheikh yahya awe waziri wa ulinzi na prof. Maji marefu awe waziri wa afya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tukishinda: Sheikh yahya awe waziri wa ulinzi na prof. Maji marefu awe waziri wa afya

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mtaka Haki, Oct 17, 2010.

 1. M

  Mtaka Haki JF-Expert Member

  #1
  Oct 17, 2010
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 492
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  NINATAKA KUTOA MAONI YANGU KWA KUTUMIA TU UHURU WANGU WA KUTOA MAONI. NINYI MASHABIKI WA CHADEMA MSIJE KUNISHAMBULIA NI USHAURI WANGU.

  1. Kwa kuwa Sheikh Yahya aliahidi kutoa ulinzi wa majini kwa rais, na kwa kuwa rais wetu hajapinga wala kuisemea kauli hiyo. Basi inawezekana ulinzi huu umekuwa wa manufaa.
  Kwa ajili ya kuipunguzia mzigo serikali basi ushauri wangu chama chetu kikishinda basi Sheikh yahaya ateuliwe kuwa mbunge na kisha awe waziri wa Ulinzi - Hii itaokoa gharama kubwa za majeshi.
  2. Pamoja na kwamba Stephen Ngonyani amemaliza tu darasa la saba lakini ana ujuzi wa mitishamba na tunguri. Kwa ajili maendeleo ya afya za watanzania hasa katika Karne hii natoa ushauri kuwa hata watu wa Korogwe vijijini wakiacha kumchagua ateuliwe awe mbunge kwani raisi amemkapenia na kumhitaji bungeni. AWE WAZIRI WA AFYA. ATASAIDIA KUPUNGUZA GHARAMA ZA BUDGET YA WIZARA KWA KUJA NA TIBA MBADALA.
  Najua wengine mnataka kuanza kusema itabidi Albino wafichwe. Mnaingilia uhuru wangu wa mawazo.
  Angalieni sijasema mbunge ateuliwe toka Kigoma. Nimeshauri Stephen Ngonyani wanayemuita Prof Maji Marefu ndiye awe wa afya.
  Msiendelee kuniuliza maswali tafadhali haya ni maoni yangu.
  Maoni ya MTAKA HAKI YAHESHIMIWE. HATA NDG. SALVA RWEYEMAMU NAAMINI ATAUNGANA NA MIMI KWA HILI LA KUTAKA MAONI YANGU YAHESHIMIWE.
   
 2. M

  Mtaka Haki JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2010
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 492
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  :A S thumbs_up:
  NIMEOMBA MSINIKOSOE KWELI HILI> HAPA NI KUNIUNGA TU MKONO NDIO NINARUHUSU>
   
 3. M

  Mtaka Haki JF-Expert Member

  #3
  Oct 17, 2010
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 492
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nashukuru kwa kuheshimiwa kwa maoni yangu
   
 4. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #4
  Oct 17, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  profesor maji marefu hili jina ni siku nyingi sijalisikia.namkumbuka kumbe bado yupu yupo.
   
 5. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #5
  Oct 17, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Wachawi wanapewa nafasi kubwa tanzania
  ile sheria ifutwe basi. haina maana yeyote
   
 6. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Kweni shehe yahya siyo waziri?,mbona alitangaza hadharani kuwa amemuwekea rais ulinzi madhubuti na sote tukakubali?
   
 7. S

  Subira Senior Member

  #7
  Oct 18, 2010
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 162
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  dr.slaa apewe wizara ya sheria ili aweze kuwatetea kabila lake walioko magereza kwa matatizo makubwa ya ubakaji na wengi waliohukumiwa kunyongwa, kwa kuwa wana matatizo ya akili, na hilo kabila kubwa waanzilishi wa chadema awasaidie kwenye matatizo ya kugombania mali na kurushana na kupigana visu.
   
 8. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #8
  Oct 18, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  prof maji marefu ni mbunge mtarajiwa jimbo la korogwe.
   
Loading...