I can live loosing a good fight but i can't live not fighting it | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

I can live loosing a good fight but i can't live not fighting it

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Epifania, Oct 18, 2010.

 1. E

  Epifania Senior Member

  #1
  Oct 18, 2010
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 133
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna watu wanakatisha watanzania tamaa ya kuchagua vyama vya upinzani kwa kusema ati hata kama vikichaguliwa matokeo yatabadilishwa.

  Napenda kuwatia moyo, kila mtu aamue kadiri ya utashi wake na si kwa mazoea. Fanya jinsi ambavyo unadhani ni sahihi kwa kumpa kura yako kiongozi unayeona anafaa kutuongoza na si kuidhulimu nafsi yako kwa hofu ya kupindisha matokeo. Chagua yule unaona ni sahihi hayo mengine yawe ni matokeo(Control your sphere of influence and not spheres of concerns);

  hebu fikiri iwapo utafanya uamuzi sahihi na matokeo yasipindishwe itakuwa ni furaha ya namna gani?!!! Nawatakia kila la heri na hekima katika kufaya uamuzi katika siku hizi tunapoelekea uchaguzi mkuu.
   
Loading...