Cuf yasambaratika zanzibar!!!

Mtu wa Pwani

JF-Expert Member
Dec 26, 2006
4,184
671
Kumekucha sasa si wakati wakulala

ile ndoto ya cuf ya kuikamata ikulu ya zanzibar zazidi kupotea baada ya vigogo wake wawili kurudi ccm chama cha kijani chenye mvuto na ushindi wa kishindo


na si wengine aliekua mbunge wa cuf na kiongozi wa juu fatma magimbi na kiongozi mwengine wa juu ndugu juma othman na wao wenyewe kueleza wako wengi wanawafata na wamekiri juhudi za ccm kuleta maendeleo

magimbi11.jpg


hapa mama magimbi akikabidhiwa nondo ya ccm na mheshimiwa jk


Juma-Othman.jpg



na hapa mkuu juma othman akisalimisha kadi ya cuf na kupokea ccm


kwa ufupi tanzania ni ccm tu iwe bara au visiwani
 
Mbona cuf ni ccmb toka walipojidanganya na eti maridhiano ili waingie serkalin kinyumenyume?hao wajanja wamewai vyeo
 
Ni kawaida Nadhani Mama Maghimbi alishindwa kura za Maoni Jimboni kwake PEMBA alikuwa Mwakilishi wa ChakeChake alishindwa vibaya sana
Alikuwa anaishi DAR haendi huko mpaka wakati wa KURA; Kwa Bara ni sawa na ARCADO MTAGAZWA huhamia CHADEMA... weka kwa Mizani... no change... wananchi wa maeneo yao wamewachoka hao wanasiasa.
 
hapa inaonekana wakiongea sasa bado hamad rashid huyu baada ya wiki moja atarudi

tumuache madevu chamache


Maghimbi-na-Juma-Othman-tayari-wamebatizwa-na-kurudi-tena-uchawini3.jpg
 
hongera mama maghimbi kwa kuamua kutoka nyumba ndogo ya ccm na kuingia nyumba halisi

Pia pole kwa kushindwa kura za maoni
 
Wamefanya la maana sio unafiki wa madevu yeye ana uhakika wa cheo wenzie wanamsindikiza
 
That is what they have been working to achieve and they are about to get it
 
CUF wamesambaratika vipi Zanzibar?
Mbona hiyo kadi kapewa Kikwete tena kwao bara (kawe) na si Zanzibar....haya mpeni cheo na huyo?
Mtu wa pwani, unakumbukumbu za Salum Msabah Mbarouk, kaacha jimbo la MjiMkongwe na kutanga na njia, CUf ipo pale pale ngangari na hivi sasa inaingia ikulu.
Tumeambiwa na Muhunzi naye atakuja msubirini ila misahau kuwapa vyeo hao watakutokeni waende chadema
 
Back
Top Bottom