Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,184
Wanaichukia Internet.
Wanatumia Internet kumhujumu Dr. Slaa. Tunatumia Internet kufahamu walichokifanya na hata walipofanyia conspiracy nzima.
Tulianza na Windows 3.1, ikaja Windows 95, Ikaja Windows 98, Ikaja Windows 98SE, Ikaje Windows Me, Ikaja Windows NT, Ikaja Windows 2000Pro, Ikaja Windows XP, Ikaja Windows Vista, Sasa Tuko Windows 7.
Mabadiliko yote haya yanahitaji Memory kubwa na CPU speed katika kipimo cha Mega. Fikra za Watanzania wa leo zipo katika kipimo cha Mega kama siyo Giga au Tera.
Kutoka Linux Command-based mpaka Linux GUI version.
Kutoka IDE mpaka SATA.
Kutoka Floppy mpaka USB flash disk
Mabadiliko haya ya mifumo ya Computer yako sambamba na mabadiliko ya kiufahamu wa binadamu wote na Watanzania kwa ujumla.
Tunajua munachukia sana wale muliokuwa munawagandamiza kupata nafasi ya kutumia Internet si chini ya mara 7 kwa wiki.
Wanatamani kuhujumu miundombinu ya Satellite. Hawana Ubavu
Wanatamani kuhujumu hata Marine Cable ya SeaCom. Hawana ubavu.
Kila kitu kina mwisho. Huu ni mwisho wa CCM!!
DR. SLAA FOR LIFE