Tafakari,chukua hatua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tafakari,chukua hatua

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by dally, Oct 18, 2010.

 1. d

  dally Member

  #1
  Oct 18, 2010
  Joined: Nov 4, 2009
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
  Jamani naomba tafakari ya picha hii

  [​IMG]
  Sasa na hii ndio kiboko ya yote
   
 2. c

  chach JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2010
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 432
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 60
  Thamani ya bango la kikwete linazidi thamani ya nyumba
   
 3. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  duh,huyu hajui ata mchagua nani
   
 4. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Huyu yupo CCM kimaslahi zaidi!,lakini moyo wake upo CHADEMA!
   
 5. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #5
  Oct 19, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Hiyo picha ya kwanza ndio hali ilivyo kwa baadhi ya vijiji nilivyowahi kuvitembelea siku za nyuma.Hawana muamko wala elimu na ndio maana CCM wanajua wazi kuwa wakiwaelimisha waTZ basi na wao kiama kimewafikia.Kwa Chadema hapo ndio kwa kufanyia kazi na kuweza kuwafikia watu hao.Lakini vilevile nina furaha kuona hali inavyoendelea maana jana niliwatembelea vijana fulani wanaoongeza elimu ya juu na wamekiri kuwa safari hii Dr Slaa amewabana hawa jamaa.Chadema kazeni buti safari bado ni ngumu japo utepe wa kumaliza mbio umeshaonekana lakini msilale hawa jamaa (CCM)hawaaminiki hata kidogo.
   
Loading...