Ile kampuni giant na kongwe ya simu nchini, imeuzwa na vodafone wanatake over, huku upande wa operations L-link watakuwa wakisimamia
wafanyakazi wameshaanza kupewa barua, ila haijulikani kama...
Jamani kama mtakuwa mnachunguza siku hizi maoni kwenye Michuzi Blog yamepungua sana labda kwa asilimia 70 hivi. Michuzi blog ilikuwa ndio sehemu ya kupata maoni mengi kwa issue mbalimbali za...
Tuesday, 26 October 2010 12:35 Gazeti la Mwananchi0diggsdigg
Vitabu vya Historia darasa la nne ambavvyo maelezo yake yanakanganya wasomaji.kulia ni ushahidi kuwa kitabu hiki kina baraka zote...
Jamani nimependa sana Verse za Marehemu Lucky Dube, hasa kipindi hiki, hebu someni na nyie, hio verse nyekundu ndo nzuri
Those that smoke marijuana
Wanna thank you, Father
For making it grow...
BA Launches Dar-Joburg Flights
Posted on: Mon, 25 Oct 2010 11:43:14 EDT
Symbols: BAIRY
Dar es Salaam, Oct 25, 2010 (Tanzania
Daily News/All Africa Global Media via COMTEX) -- BRITISH...
Source: Gazeti la...Ukweli na uwazi
Na Haruni Sanchawa
KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Saidi Mwema na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Lewis...
Nilisikia kwenye redio moja ya bongo kuwa wakristu wa madhehebu yote watafanya ibada ya pamoja kuombea amani uchaguzi mkuu siku mbili kabla ya 31 Oct. 2010. Sasa sijui na dini nyingine watafanya hivi?
Wakati Rais akipigia kelele uhuru wa vyombo vya habari na maadili yake yafanye kazi kwa haki na upendo , kuna baadhi ya waandishi na wamiliki wa hivi vyombo vya habari viko mstari wa mbele katika...
Italian seaside town planning miniskirt ban
The dress code would ban everything from miniskirts to low-cut jeans
A seaside city in Italy is planning to ban miniskirts and other revealing...
Hakuna siku nimefadhaika na kusikitishwa maishani mwangu kama leo..Kukosa JF kwa masaa haya 6 ilikuwa ni safario ndefu na ngumu..Ni heri kukaa nyikani na kuteseka kuliko kukosa JF.
Jitihada zenu...
hizi kura jamani embu wagaieni chadema tubadilishe nchi jamani usijelaumu mwenyewe
Watanzania sasa kupata nafuu ya maisha Send to a friend Monday, 25 October 2010 08:26 0diggsdigg
Mgombea...
Yuko wapi aliyemsafi CCM?
Na Hilal K. Sued - Imechapwa 13 October 2010
VIONGOZI wasafi ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), wanapatikana kwa nadra sana. Sisemi hawapo, la hasha! Wapo lakini...
Wale adui watatu ambo tuliambia na CCM/TANU/ASP wangeliwatokomeza kumbe ndiyo lulu sasa kwa CCM ili kuendelea kututawala bila ridhaa yetu.
Adui hao ni umasikini, ujinga na maradhi.....
Kwa...
Nimekuwa nikijiuliza swali hili mda mrefu: je, wahindi na waarab hutunza fedha zao ktk bank ipi?, maranyingi nimekuwa nikikaa kwenye misururu ya bank hata masaa3 lakini sioni mwarabu ama muhindi...
Imekuwa ni tabia ya Tanesco hapa Arusha kutunyanyasa sisi wakaazi wa Arusha kwa kutukatia umeme mara kunapokuwepo shughuli nyeti ya Chadema na Dr. Slaa na hata huwa hawatuombii msamaha....kwa...
Wana jf naomba mnisaidie kama naweza kupata mawasiliano na watu wanaosoma masters nje ya nchi ili niweze kujua michakato ya kusoma huko inakuwaje,kwani natamani kufanya masters ng'ambo,program...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.