dakika 100 za slaa haziwezekani, je. dakika 26 za kikwete zinawezekana? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

dakika 100 za slaa haziwezekani, je. dakika 26 za kikwete zinawezekana?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by tanga kwetu, Oct 18, 2010.

 1. tanga kwetu

  tanga kwetu JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 2,163
  Likes Received: 1,122
  Trophy Points: 280
  ...wengi walio ndani ya blanketi zito la CCM na kulala usingizi wa pono wanabeza kwamba baadhi ya ahadi ambazo Slaa (PhD) anasema atazishughulikia ndani ya siku 100 kwamba haziwezekani ilhali Kikwete (BSc) ameahidi kushughulikia kwa dakika 26. HOW? So far huyu JK ameahidi zaidi ya ahadi 60 (let's say 70 kwa uchache) miaka mitano roughly ina siku 1825 (365 X 5) then ukigawa kwa idadi hiyo ya ahadi unapata wastani wa siku 26 kwa kila ahadi. Worse enough ni ahadi nzito nzito kama vile Three International Airports, meli 3 kubwa za abiria, BAJAJI 400 ZA WAJAWAZITO nk nk nk nk. Kama anayetoa siku 100 kwa baadhi ya ahadi anaonekana muongo, je huyu wa siku 26 tumuitaje?
   
 2. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2010
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,523
  Likes Received: 555
  Trophy Points: 280
  Njia za mwongo ni fupi sana . Bora angekuwa na mental power ya kufanya simple calculation kama hii. Wanaomsaidia wanamdanganya tu na extra ordinary power, na vimessage toka kwa akina Shamte . Peoples power, vox populi vox dei, pouver populare ndio final and conclusive .Full stop
   
Loading...