Hotuba ya jk ya kukubali kushindwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hotuba ya jk ya kukubali kushindwa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mtaka Haki, Oct 17, 2010.

 1. M

  Mtaka Haki JF-Expert Member

  #1
  Oct 17, 2010
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 492
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ninawaomba wenye hekima katika masuala ya hotuba msaidie katika kuandika Hotuba ya JK ya kukubali kushindwa mimi nitatafuta njia ya kumpelekea sio kwa kumkejeli bali kwa nia ya kumtia moyo kutokana na ujasiri na ushujaa utakaoonekaka katika hotuba hiyo.

  Kwa kawaida nafasi ya urasi ndiyo nafasi ya juu kuliko zote. Pia ni matarajio makubwa kwa mgombea yeyote aliyeshika kwa kipindi kimoja tu kutamani aongoze hadi kipindi cha pili ambacho ni ukomo wa kugombea.
  Ni maumivu makubwa endapo aliyekuwa rais anashndwa katika uchaguzi. Kuna hali tete hujitokeza. Hajui atakayechukua urais atamweka katika hali gani? Kuna suala la fedha nyingi za kampeni zinazokuwa zimepotea.
  Naomba suala hili lisichukuliwe kimchezo. Kuna ugumu mwingi na mwingine siwezi kuutaja hapa yaani ugumu mkubwa zaidi.
  USHAURI WANGU.
  Naomba tusaidiane kuandika hotuba mzuri moja ya Dr. Slaa na moja ya Rais wetu mpendwa anayeondoka madarakani.
  Katika hotuba hiyo mambo yafuatayo yazingatiwe kwa hotuba za wote wawili.
  1. Demokrasiailivyo na mapana yake.
  2. Heshima kwa wapiga kura na ulimwengu wa mabadiliko
  3. Shukrani kwa waliosimama naye.
  4. Ahadi ya ushirikiano na serikali inayokuja
  5. Shukrani mbalimbali
  6. Ushindi wa umoja wa kitaifa, ushindi wa amani ushindi wa udugu kwa kukubali matokeo.
  7. Msamaha kwa mengi mabaya yaliyofanywa na kusemwa dhidi yake.
  8. Matamanio ya wananchi sio chuki binafsi dhidi ya yeyote ni wakati tu wa mabadiliko.
  NAOMBA MSAADA WENU.
   
 2. N

  Ngurudoto JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2010
  Joined: Mar 13, 2008
  Messages: 208
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wishful Thinking mbaya jamani..
   
 3. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #3
  Oct 18, 2010
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,004
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  JK ktk hotuba yake atasema kuwa mizengwe ilitawala ndo maana akashindwa, ameonewa sana.
   
 4. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  Kaka kesho ntakupa hotuba izo mbili. Ntaziweka katika lugha ya kiingreza,wazo zuri mkuu,hata Obama uandikiwa.
   
 5. N

  Ngurudoto JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2010
  Joined: Mar 13, 2008
  Messages: 208
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wishful Thinking..Uvivu huu hauwezi kuchukua dola ya nchi kubwa kama TZ
   
 6. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2010
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Ingelikuwa kama ni USA au UK ningelikusaidia kuandika hotuba ya JK lakini kwa sababu ni BONGO siwezi kwani najua fika nini kitafanyiaka. We ngoja lakini utaamini baadae, kuwa wafrika tuna asili ya kung'ang'ania sana madaraka hata kama hatupendwi!!!!! We angalia Zimbabwe, Kenya na nchi nyingine za Magharibi utapata jibu. Ni kweli mwamko upo sana na watu wanataka mabadiliko lakini SWALI waliopo madarakani watakubali kirahisi???????
   
 7. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #7
  Oct 18, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,613
  Likes Received: 419,785
  Trophy Points: 280
  Hotuba ya JK itajaa malalamiko na manung'uniko. Atawalaumu viongozi wa dini kwa kuleta udini wakati yeye ndiye aliyewaamsha alipoanza kujenga hoja ya kuisilimisha nchi hii kupitia mahakama za kadhi na kujiunga na shirika la nchi za waislamu duniani, OIC, ukiachilia mbali ajira serikalini kuwapendelea waislamu isivyo halali na kinyume na sheria bila ya kujali ujuzi au sifa za kitija.

  Na Marekani hususani Obama ndiye atakayemkemea atoke madarakani na kuachia ngazi kiujumla vinginevyo JWTZ itamwapisha kuendelea na Uraisi kwa sababu baada ya nec KUMTANGAZA DR. SLAA KUWA NI RAISI WETU WA TANO HATA JAJI MKUU HAWEZI TENA KUMWAPISHA JK labda jamaa zake huko jeshini ndiyo watamwapisha na vurugu lake litakuwa special.........................
   
 8. M

  Mr Me Member

  #8
  Oct 18, 2010
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Watu wengine wanaota sana kuhusu nchi yetu hii kuendeshwa na mtu kama Dr. Slaa, hizo ndoto zenu za Alinacha zitazimwa tarehe 31 Oktoba, 2010. Ushindi wa CCM utakuwa wa kishindo kuliko vile mnavyo tarajia, pole sana Mungu ibariki Tanzania, na ibariki Afrika. Kidumu Chama Cha Mapinduziii...:glasses-nerdy:
   
 9. Kishongo

  Kishongo JF-Expert Member

  #9
  Oct 18, 2010
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  East Africa still needs Kikwete[FONT=&quot]

  KENYA'S Vice President Dr Kalonzo Musyoka, has said there is need for Tanzanians to re-elect Dr Jakaya Kikwete for president due to urgent regional and international tasks that only the latter can fulfil.

  Addressing a dinner event organized for his honour by Tanzanian and Kenyan business persons in Arusha Friday night, Mr Musyoka said Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda and Burundi are currently working hard to make the East African regional integration happen and Mr Kikwete is an important force in the joint efforts.

  "Those who have been following the process would recall that it was not easy to revive the EAC after the original one collapsed in 1977, we remained suspicious of each other and had it not for the wisdom of our former leaders, the late Mwalimu Nyerere, Daniel Arap Moi and former Tanzanian Presidents Ally Hassan Mwinyi and Benjamin Mkapa there would still be no East African Community," said Mr Musyoka.

  The Kenyan VP explained that a lot has been achieved so far, including the latest milestone launch of the East African common market but said there were still more crucial tasks ahead to ensure that the community becomes stronger.

  The laid ground works would require more joint efforts from the Heads of State in the member countries who had been involved in the first place. Dr Kikwete is the current chairman for the Summit of the East African Heads of States, having been elected during the EAC's 10th Anniversary milestone celebrations last November.

  "But I did not come to Arusha to campaign for Mr Kikwete. I am only stating the facts, we have been going very well in the community and we do not want anything to interrupt the promising development. But again even from personal point of view, I still support Dr Jakaya Kikwete for his unquestionable leadership ability as well as for the fact that, as my personal friend, we have long history including that of suffering together," maintained the Kenyan VP.

  "I wish I had one single strong vote to reinstate Dr Kikwete I would have cast it in his favour. Tanzanians should also vote for him again if they know what is good for them," said the Kenyan VP.

  Mr Kalonzo Musyoka also commented on Tanzania's election campaigns; "Kenyans need to learn something from Tanzania. There is an election going on here but things are so peaceful and serene, it is like nothing is happening, people are taking things easy.

  In Kenya right now there is no election but already people have started to argue and conducting heated debates over the issue even though the next polls are coming up in 2012," he said.

  He told business people in Arusha that Kenya has thrown open the doors for all Tanzanian professionals to go and work in the country without the need to seek for work permits; "President Mwai Kibaki has reiterated his statement that he wants Tanzanians to go and work in Kenya without qualms or any hindrance and while at that I also take the opportunity to invite business people and investors in Tanzania to also extend operations in Kenya," said the VP.

  Earlier, on the chairman for the Confederation of Tanzanian Industries (CTI) in the Northern Zone, Mr Anup Modha told the Kenyan VP that Tanzanian investors were ready and confident enough to grab the Kenyan market.[/FONT]​
   
Loading...