Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Katika kile kinachosadikika ni mambo ya mapenzi, mchina mmoja amemua kijana mwenye umri kai ya miaka 19 - 30 jioni ya leo hapa chunya
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Chama cha mafisadi kimemchagua mheshimiwa Jobb Ndugai kugombea unaibu spika kwa ticket ya chama hicho baada ya kumpitisha kwa kura 197 kati ya kura 198 na kura 1 iliharibika. Waliokuwa wanagombea...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Anawashka sana je anaweza kuchukua kitita?kama humjui ni yule mzungu eebwana anabamba
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kweli hali ni tete, yaani nashindwa kuelewa hii dunia inaenda vipi, Hivi wadau hili suala la hawa "FREEMASONS" mnalichukuliaje?? Can they dominate the whole world????!!!!!
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ghana
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Na Richard Bukos Ndoa iliyokuwa ifungwe kati ya Bwanaharusi, Joseph Kibarabara na mkewe mtarajiwa, Warda Halfa, imetibuka kufuatia Bibiharusi huyo ‘kutekwa’ na kufungiwa chumbani na mwanaume...
0 Reactions
21 Replies
10K Views
Arguing, as I define, is presenting arguments to support your case. Now I know here at JF we argue a lot and as you can see, we use logic every time. For example when you tell somebody "you are...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimeipata hii sasa hivi. Ni breaking news! Imethibitika kwamba mojawapo ya magari yaliyokuwa kwenye msafara wa Rais, akielekea nyumbani kwake Bagamoyo kwa mapumziko mafupi, imepata pancha eneo la...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Serikali ya Nigeria imetishia kuishtaki Iran kwenye umoja wa mataifa endapo haitatoa maelezo ya kina juu ya makontena 13 yenye silaha yaliyokamatwa mjini Lagos juzi yakiwa yametokea Iran kuelekea...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni makala uliyoiandika mwaka 2005 kuelekea uchaguzi. Ilizungumzia Sheria na Taratibu mbovu katika kusimamia taratibu za kupatika wagombea na matumizi ya fedha zisizo na kikomo wala maelezo...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Uchaguzi umepita sasa utendaji na uozo wa miaka nenda rudi umeanza kuonekana.Ukweli ni kuwa kabla ya uchaguzi mgao wa maji na umeme ulikuepo!tuulize ubungo kibangu lini walipata maji?8% ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakubwa naomba msaada kidogo. Yani kila ninapofungua subforum ya mambo ya kikubwa inagona na kuniambia i have no permission. Anyone who knows how i can solve it please help me.
0 Reactions
10 Replies
4K Views
TUJADIRI HIZI NI BAADHI YA HASARA ZAKE 1.) VURUGU 2.) UTUMIAJI MBOVU WA FEDHA 3.) UZINIFU 4.) AJILI 5.) INAKUTENGA NA MUNGU 6.) MAGONJWA eg Kama ya figo na mapafu pia moyo 7.) HUARIBU UTU 9.)...
0 Reactions
11 Replies
9K Views
13th November 2010 He kept it rather precariously on top of a bookcase in the living room – an elegant Chinese vase with a fish motif on the front and gold banding that glistened occasionally in...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Real inanipa wakati mgumu kuona wamama wajawazito wanakufa ktk hosp kubwa wakati wakujifungua.sijui wenzangu mnalo la kuchangia ili kupunguza hili tatizo?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ZAMANI TULIKUWA TUNA WAANDISHI MAHIRI WA VITABU VYA KUSISIMUA. WALIKUWEPO KINA BEN R MTOBWA, MSIBA, NA WENGINE WENGI. KWA MARA YA MWISHO KUSOMA KITABU CHENYE KUSISIMUA ILIKUWA MIAKA MITATU NYUMA...
1 Reactions
20 Replies
9K Views
Hivi karibuni miongoni mwa dada zetu imezuka tabia ya akinadada wengi kuvaa nguo ambazo zinaonesha sehemu kubwa ya matiti yao, ikibaki kuwa wazi. Takriban asilimia 60 hubaki kuwa wazi, na wengi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari za weekend wanajamii. Mimi nina mdogo wangu amegraduate mwaka huu. Degree yake ni ya Business Administaration in accounting. Naomba msaada wa kujua at least website zinazotangaza kazi...
0 Reactions
0 Replies
874 Views
Jamani kwa wale mnaotaka viwanja kwa bei rahisi msisite kunipigia simu hapa 0786 046484. Viwanja vinapatikana eneo la vikawe mbele ya bunju maeneo ya tegeta.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
China builds 15-story hotel in 6 days A soundproofed, thermal-insulated building is constructed in a remarkable feat of speed. See time-lapse video Source: Chinese workers build...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom