Kwa maslahi ya Wadanganyika...Jenerali Ulimwengu rudia makala hii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa maslahi ya Wadanganyika...Jenerali Ulimwengu rudia makala hii

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Omutwale, Jun 18, 2009.

 1. Omutwale

  Omutwale JF-Expert Member

  #1
  Jun 18, 2009
  Joined: Feb 4, 2008
  Messages: 1,429
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145

  A Note of Thanx:

  Nawashukuru NIPASHE kwa kuitikia wito huo hapo juu. Kwa mara ya kwanza niliutoa katika thread ya RA Kuvuliwa Uraia?

  Katika toleo lao la jana wamejaribu kurejea aliyoandika Ulimwengu mwaka 2005 kabla ya Uchaguzi Mkuu. Kwa wale wenye nakala angalia:

  Kichwa cha habari "Fedha katika Uchaguzi"

  Urais sasa ni kwa mabilioni

  • Ubunge ni kitita cha Sh. milioni 100

  • Udiwani sasa mgombea awe na milioni 10/
   
 2. B

  Bibi Ntilie JF-Expert Member

  #2
  Jun 20, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 245
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Jenerali On Monday Channel Ten ameenda wapi?
   
 3. R

  Rwabugiri JF-Expert Member

  #3
  Jun 21, 2009
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 2,777
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Labda naye ametembelewa na wageni si nasikia siku hizi watu wenye muelekeo na mtazamo wa kutosinzia wanatembelewa?
   
 4. Omutwale

  Omutwale JF-Expert Member

  #4
  Nov 14, 2010
  Joined: Feb 4, 2008
  Messages: 1,429
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Kwenye hii thread, nilimtumia ombi Jenerali kurudia makala INAYOISHI. Kwa mtazamo, fikra na uhalisia wa mambo. Hii makala angeirudia ingekuwa na mashiko kuliko aliyo recycle wiki inayopita.
   
Loading...